Wadogo zangu Wakati simu za mkononi zinaanza

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Baba na mama
Kaka na mkewe / shemeji
walitumia simu 1 yaani msg yako yangu yake yangu, bora ata vingeendelea adi Leo
Simu ni
Nokia iliyokuja batizwa jina la jeneza baadaye 3310
Simensi
Philips, n.k
Zitarudi lini siku hizi Mimi jamani
 
Tusubr tyu

One day ztarudi tyu


Km model zlivaliwa miaka ya 70's

Lkn leo znabambaaa kweny hk kzaz cha nyokaaaa
 
Back
Top Bottom