Wadoeaji muwe na heshima

Wadoeaji muwe na heshima

mkuu acha tu kuna wanawake sku hizi n balaa,. Nilitegeshwa mimba hyo halafu ukoo wao mzma ukaandaman kuja eti lazma nimuoe mtoto wao.

Yaan kuna wanawake baadhi hawatumii hata akili ya kawaida

ikawaje malizia story
 
Polee sana nakushauli nenda kwenye kioo zen utakacho kiona basi huyo ndo adui yako.
 
hajapewa mbunye, ile anaanza kunizoea zoea nilikuwa na hamu sana, ila sikumtega hata kidogo, ndo kilichosidiana yeye haoneshi kama anataka mbunye, ,

sasa mda ulivyoenda na tabia zake mbofumbofu hata nimejikuta ananikera kupita maelezo

marrykate Nina wasiwasi hiyo hamu ndio inakifanya uwe restless, you loved the dude long ago...mmekutana na jamaa haonyeshi kutaka mbunye, Nina uhakika angekupa dushe la uhakika wala usingekuja ku complain. Stress za kumiss dushe nazo mbaya ujue.
 
Last edited by a moderator:
yaani mtu atatawalaje kwajo namna hiyo
MIMI MWANAUME ALALI KWANGU,akila kwangu basi ni mshikaji kitambo sana

jamani kumpikia kumfulia ni sawa na kumpa maziwa alafu utegemee siku moja atafuga ngombe hell noooooooooooooooooooo

HAPO UOLEWI NGOOOO ACHA KUJIRAHISISHA
Bibie mbona unaitaja taja ndoa hata mahali isiyohusika?
 
ukweli mchungu, huwa najiuliza mara kibao hiki ninachofanya ni nini hata sipati majibu, kuna siku alipiga simu anauliza kuna nini leo, nikamwambia hatupiki leo,aah si akaja tu mara nashangaa mtu huyo kakuta msosi jikoni acha aanze kunitukana tena eti mchoyo

Ha ha ha ha ha jamaa nimemkubali Ni mtambo wanawake wa miaka hii wana deserve kupata wanaume design hiyo
 
marrykate Nina wasiwasi hiyo hamu ndio inakifanya uwe restless, you loved the dude long ago...mmekutana na jamaa haonyeshi kutaka mbunye, Nina uhakika angekupa dushe la uhakika wala usingekuja ku complain. Stress za kumiss dushe nazo mbaya ujue.

stress za namna hio mbaya sana mkuu naunga mkono hoja
 
Last edited by a moderator:
Eti dada, kwenu wanafahamu kama ishaanza kuishi na mwanaume geto kwako?

Hahahaa...... czn kama wanajua ndo maana anampelekesha na hawajaingilia katiiii... dada ana moyo
 
Bwana we si nikatokea kumpenda mkaka mmoja hapa ofisini, muda mrefu tu umepita, sema kila nikijipendekeza alikuwa haelewei somo, basi nikaamua kuacha na hizo mambo za kumuwinda winda kila mara, miaka miwili ikapita ghafla na yeye akaanza kujiweka karibu na mimi, kwa vile nampenda sana sikuweza kuresist basi nikarespond nikamchukulia kama rafiki wa karibu tu sio mpenzi.

Sasa katika mazoea haya ya urafiki mwenzangu sijui anahisi yupo na mke wake, kila siku anataka apate chakula cha jioni kwangu, basi nitajipikilisha wee jamaa anakuja anakula anasepa, huyu jamaa anapenda vyakula vya kuchemsha tu, visiungwe hata, na mimi napenda kukaanga ile mbaya,akaanza visa akikuta tumepika chakula asichopenda matusi yatamtoka huyo utafikiri alitoa hela halafu nikanunua vitu vingine.

Kujifanya kuimiliki nyumba utafikiri anajua hata kodi ya nyumba ni sh ngapi, akifika home basi itabidi muangalie vipindi anavyotaka yeye tu, maongezi yawe anayotaka yeye tu, feni izimwe.

Nimemwambia mara kadhaa kuwa yupo selfish sana anaona kama namtania vile nimfanyeje huyu mtu jamani?

Kip it up dear
 
Duh!!!! Yaani pamoja na yote haya bado upo naye!! :nono::nono::nono:....Weye una moyo sana!!! Muombe ahamie kabisa.

Back
Top Bottom