Naona anabania maelezo hahahaaaa!!
hoja muhimu sana hiyo hakupaswa kuiacha hewanimbunye kashaiona maana hujatuambia hapo
Bwana we si nikatokea kumpenda mkaka mmoja hapa ofisini, muda mrefu tu umepita, sema kila nikijipendekeza alikuwa haelewei somo, basi nikaamua kuacha na hizo mambo za kumuwinda winda kila mara, miaka miwili ikapita ghafla na yeye akaanza kujiweka karibu na mimi, kwa vile nampenda sana sikuweza kuresist basi nikarespond nikamchukulia kama rafiki wa karibu tu sio mpenzi.
Sasa katika mazoea haya ya urafiki mwenzangu sijui anahisi yupo na mke wake, kila siku anataka apate chakula cha jioni kwangu, basi nitajipikilisha wee jamaa anakuja anakula anasepa, huyu jamaa anapenda vyakula vya kuchemsha tu, visiungwe hata, na mimi napenda kukaanga ile mbaya,akaanza visa akikuta tumepika chakula asichopenda matusi yatamtoka huyo utafikiri alitoa hela halafu nikanunua vitu vingine.
Kujifanya kuimiliki nyumba utafikiri anajua hata kodi ya nyumba ni sh ngapi, akifika home basi itabidi muangalie vipindi anavyotaka yeye tu, maongezi yawe anayotaka yeye tu, feni izimwe.
Nimemwambia mara kadhaa kuwa yupo selfish sana anaona kama namtania vile nimfanyeje huyu mtu jamani?
Naona wanawake nao wameanza kuingiza mwanaume gheto ili waolewe....haya sasa!!
mkuu acha tu kuna wanawake sku hizi n balaa,. Nilitegeshwa mimba hyo halafu ukoo wao mzma ukaandaman kuja eti lazma nimuoe mtoto wao.
Yaan kuna wanawake baadhi hawatumii hata akili ya kawaida
mbunye kashaiona maana hujatuambia hapo
ulitegeshewa mimba au papuchi?mkuu acha tu kuna wanawake sku hizi n balaa,. Nilitegeshwa mimba hyo halafu ukoo wao mzma ukaandaman kuja eti lazma nimuoe mtoto wao.
Yaan kuna wanawake baadhi hawatumii hata akili ya kawaida
aaah tuko jamani mrahisi ki vip tena, kwa hiyo alivyoamua kuwa karibu na mimi ningempotea tu? sio wapenzi kumbuka
yaani mtu atatawalaje kwajo namna hiyo
MIMI MWANAUME ALALI KWANGU,akila kwangu basi ni mshikaji kitambo sana
jamani kumpikia kumfulia ni sawa na kumpa maziwa alafu utegemee siku moja atafuga ngombe hell noooooooooooooooooooo
HAPO UOLEWI NGOOOO ACHA KUJIRAHISISHA
Kuna watu mna moyo....
hajapewa mbunye, ile anaanza kunizoea zoea nilikuwa na hamu sana, ila sikumtega hata kidogo, ndo kilichosidiana yeye haoneshi kama anataka mbunye, ,
sasa mda ulivyoenda na tabia zake mbofumbofu hata nimejikuta ananikera kupita maelezo
anakula tu, anaishi kwake sijawahi hata kufika,nilimchukulia kama rafiki wa kawaida tu, anaekuja nyumbani mnapika mnakula, mara ndo hivyo akaanza na matusi tukipika chakula asichopenda, kuna siku hakuja kazini basi mie wala sikumtafuta kwenye simu ghafla jioni huyo nyumbani anaanza kugomba kwa nini sikumpigia aje kula, lol nilibaki nimeshangaa tu, hivi anahisi mi ni nani kwake mpaka anigombeze eti sijampigia simu