Kaka watu wamechoka especially hawa madaktari usiseme. Waliopo wanafanya kazi haswa lkn hata mazingira ya kazi kuboreshwa inakuwaje ngumu hiyo ilikuwa ndani ya almost 15yrs ago sasa hivi unakuja unakurupushwa na speed ya Magu, hahahaha.Tatizo watu sio wabunifu, wanasubiri JPM aje kuwaambia la kufanya.
Watumie vyoo vya muda mfupi wakati ujenzi wa vyoo vya kudumu unaendelea, acheni ugoigoi
Niko hapa MNH naangalia pilika zinavyoendelea. Hakuna nurses wa kutosha kuwa Na ward nyingine ghafla. Hawa kina mama wanaweza kupata tatizo wakiwa wenyewe
Watanzania hamna shukrani.ushasema mafundi ndio wanajenga sasa unataka nini?
wakina mama wanalalamika. tena mmoja kasisistiza, 'maamuzi yawe yanafanyika kwa umakini'
Hiyo haja ndogo au kubwa itasubiri tu mpaka vyoo vitakapojengwa?Vyoo si vitajengwa, kwani tatizo liko wapi?
Mimi mwenyewe nimeangalia habari hiyo na wameonesha vyoo viki karabatiwa kuendana na mahitaji ya wahusika....Akiongea kwa mbwembwe na Wazee wa Dar, rais JPM aliagiza ofisi za taasisi ya afya ya mama na mtoto zibadilishwe matumizi na kuwa wadi za akina mama walioielemea MNH mpaka kulala chini. Cha kusikitisha ni kuwa hakuna huduma nzuri ya vyoo; kwanza havitoshi (mafundi ndiyo wanajenga), havina hadhi ya kutumiwa na akina mama. Wanatumia vyoo vya nje vilivyo mbali na wadi hiyo mpya! Wamejazana kiasi ya wengine kushindwa kuvumilia na kuachia haja (ndogo) pasipo na choo.
Jamani, kuna magonjwa ya mlipuko. Fanyeni hima.
chanzo: EATV
Dah vichwa vingine Mungu atusaidie.Halafu utasikia mtu ana mke na watoto
Sio wote bali wazungusha mikono. Hao kwao hakuna jema kama halijafanywa na Lowassa.Watanzania kuappreciate ni kitu kigumu sana!
Umesema hazina vyoo na mafundi ndio wanajenga, sasa hapo tatizo liko wapi so watajenga vitaisha na kinamama wataanza kutuma...kumbuka zilikuwa ofisi na sasa zimekuwa wodi huoni lazma kuna mabadiliko yafanyake ili ofisi hizo zifanye kazi mpya, au ulitaka Magu awe kama Mungu aseme na sasa ofisi ziwe wodi na ghafla kila kitu kiwe sawa..
"If you can't beat them,............"Waliokuwa wanafanya kazi humo walikuwa wanaenda kujisaidia wapi? Lakini kama umesema 'havitoshi' ni jambo jingine maana umesema 'mafundi ndio wanajenga'. Ndio maana ya kuwapa watu changamoto.. ulitaka Magufuli awajengee na vyoo? Yeye katoa agizo ni jukumu la watendaji wengine kuhakikisha agizo la Rais linatekelezwa na linatekelezeka.
Kwa nini hawawapigi kozi ya "fasta" hao wanaochukua kozi ya ukunga ili waje huku kwa kinamama kuwapa "maisha bora"?Niko hapa MNH naangalia pilika zinavyoendelea. Hakuna nurses wa kutosha kuwa Na ward nyingine ghafla. Hawa kina mama wanaweza kupata tatizo wakiwa wenyewe
Mkuu kipindupindu hicho kinarejea tena kutokea Muhimbili.Sisi yetu macho na masikio.