Elections 2010 Wadhamini Kikwete 14,069; Slaa 1.3 million

Mimi nimemdhamini Slaa; na kura yangu anayo, plus 4 others from my family.
That's the point kama kila mdhamini akiweza kushawishi 3 -4 wengine that is suddenly a whole lot of people. Kwa kweli inatia moyo.. uchaguzi mwaka huu utakuwa mzuri sana... Good job, Chadema that is good and true grassroot work! :A S thumbs_up:
 
Bila shaka atakubalika tu. Kwa ujinga huu uliotufunika!!! Cjui itakuwaje ikiwa wewe mwenye ahueni ya ufahamu bado unamkubali. Slaa hamkubali JK katu. Anakubalika na wasiowaelewa na wala rushwa ambao hata kama wanaelewa bado tamaa zao zinawafunga CCM. Hii ni nchi ya wajinga na waoga. Wakubwa na wasomi ni waoga, wananchi wakawaida hawajui kitu. Ukijua umebahatika hivo tumia bahati yako kuwaelemisha wengine tuuon'goe wakoloni hawa wenye rangi nyeusi, CCM.
 
Back
Top Bottom