Kichwa cha treni kikikosea njia kinaludishwa na nani? Pia behewa likikosea linaongozwa na nani? Automatic life, Wanaume wote wapole na wastaalabu sana ukifuata mashriti,kama huyajui njoo inbox.Wanaume mna roho mbaya nyie[emoji119][emoji119][emoji119].
Hivi nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu una maana nimuombe msamaha?
Mkuu hii mbinu nilishaitumia lakini baada ya mgegedo nikiwa nimejilaza nahema kama bata na Mimi Nichapwa bonge la Kofi nikavumilia tu ili asiondoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye avatar ni wewe?Kichwa cha treni kikikosea njia kinaludishwa na nani? Pia behewa likikosea linaongozwa na nani? Automatic life, Wanaume wote wapole na wastaalabu sana ukifuata mashriti,kama huyajui njoo inbox.
Hahahahaaa baby doll, and her presence! Why my avarter?
Nyie wanawake tatizo lenu ni kukosa respect, majibu majibu na kejeli ndio makofi yanapo jidhihilisha.Kumpiga mtu ni kosa kisheria kwanza muombe msamaha wee sikiliza wapuuzi wasio na utu na tabia njema umemuumiza kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nyie hamujiheshimu pia, mie hata ndoani huna mamlaka ya kunigusa aisee.Nyie wanawake tatizo lenu ni kukosa respect, majibu majibu na kejeli ndio makofi yanapo jidhihilisha.
Sawa lakini ukumbuke respect ya mwanamke ndoani ndio afya ya ndoa, hamuwezi kuishi kama ukoo wa kambale kila mtu ni mkubwa na ndio mwenye final say, lazima mwanamke ushuke ushuke chini, kweri tena, kama uamini na hutaki basi usiolewe kaa pekeyako, principle number one,hahaha,Mbona nyie hamujiheshimu pia, mie hata ndoani huna mamlaka ya kunigusa aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimempenda huyo kwenye picha ndiyo maana.Hahahahaaa baby doll, and her presence! Why my avarter?
Hahahahaahaa, maada imebadilika, anapiga uyo ukimjibu! Vibaya,,/Utamvumilia kweri!?
Hata akinipiga asubuhi ,mchana na jioni. Nipo tayari.Hahahahaahaa, maada imebadilika, anapiga uyo ukimjibu! Vibaya,,/Utamvumilia kweri!?
Hahahaha, unataka kushinda, swali la pili, ni mume wa mutu huyo:!?
Hapa sina namnaHahahaha, unataka kushinda, swali la pili, ni mume wa mutu huyo:!?
Wanaume mna roho mbaya nyie[emoji119][emoji119][emoji119].
Hivi nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha simba amefungwa hapa!