Wadau wa MMU mmeniponza, nimeachwa

Wadau wa MMU mmeniponza, nimeachwa

[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....we fala kweli utafataje ushauri wa kwenye keyboard na uhalisia wa life?

Haya bondia jioe sasa[emoji1787][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume mna roho mbaya nyie[emoji119][emoji119][emoji119].
Hivi nyie mkikosea mnapigwa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, kuna kosa unafanya unatamani hata kupigwa yaishe.

Mimi nikiharibu kitu kuna vile analia halafu akianza kunipiga vikofi vyake najua so limeisha tayari. Ila akikausha, mmh noma.
 
Ahhhahahahahhaha. Namsibiri mzee wa vitunguu swaumu
 
Ndio kibao kimemuweka akili zake sawa sasa.. ukaoe kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom