Wadau wa MMU mmeniponza, nimeachwa

Wadau wa MMU mmeniponza, nimeachwa

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,477
Ama kweli za kuambiwa changanya na za kwako, hili nimeliamini leo baada ya mambo kunikuta...

Iko hivi kuna mtu aliwahi kuja humu jukwaani kuhusu mada ya kumpiga mwanamke kama ni sahihi au la... Kwenye mjadala huo kuna mdau mmoja alitoa mchango akasema kuwa mwanamke hapigwi maana huwez kumpiga mwanamke unaweza kumuua lakini unachoweza kufanya ni kumnasa hata kibao kimoja tu ili akili imkae sawa, nakumbuka mdau huyo aliungwa mkono sana kwamba wazo lake ni mujarab...

Sasa mimi jana shemej yenu alinitibua nikaona ngoja nimuonje kibao ili akili ikae sawa, nikamnasa kimoja japo hakikua kikali sana lkn kilikua si haba...

Cha ajabu alianza kububujika machozi kama bomba la DAWASCO hatimaye akaondoka kwenda kwao (hatujaona bado ni mchumba wangu) baada ha kufika kwao alinitumia sms ndefu mno na kumalizia kusema kuwa yeye haolewi na bondia kwa hiyo nimtafute bondia mwenzangu

Sasa simu zangu hapokei wala sms hajibu na kwa maelezo kutoka kwa rafiki yake wa karibu anasema yuko serious harud nyuma na amefunga ukurasa...

JF, JF, JF, JF, why lkn
 
Kwanza nikupongeze kwa hatua uliyoichukuwa homgera sana, ila sasa unataka kuharibu usithubutu usijilaumu maamuzi yako pili usiombe msamaa kabisa hivi viumbe vina hila sana.

Hapo mshukuru Mungu amekufunulia kujua huyo mwanamke hakufai, si mvumilivu kwani kwenye ndoa kuna changamoto zaidi ya hiyo Kelebu uliyo mchapa akamwwmbia shoga yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha haa. Trust me, huyo mwanamke atarudi. Na akirudi, upendo wake kwako utakuwa umeongezeka maradufu.
Wewe shikilia hoja kuwa umefanya hivyo kwa sababu ya wivu mkali kwa vile unampenda sana.
Mtumie rafiki yake kufikisha ujumbe.
 
Tatizo jamaa limeshaharibu. Limeshambembeleza na kuomba musamaha kibao kwenye sms. Miwanaume hii itakuwa ya Dar tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mzima anaweza kurekebishwa kwa kupigwa? wanasaikolojia tusaidieni hapa!
 
Ama kweli za kuambiwa changanya na za kwako, hili nimeliamini leo baada ya mambo kunikuta...

Iko hivi kuna mtu aliwahi kuja humu jukwaani kuhusu mada ya kumpiga mwanamke kama ni sahihi au la... Kwenye mjadala huo kuna mdau mmoja alitoa mchango akasema kuwa mwanamke hapigwi maana huwez kumpiga mwanamke unaweza kumuua lakini unachoweza kufanya ni kumnasa hata kibao kimoja tu ili akili imkae sawa, nakumbuka mdau huyo aliungwa mkono sana kwamba wazo lake ni mujarab...

Sasa mimi jana shemej yenu alinitibua nikaona ngoja nimuonje kibao ili akili ikae sawa, nikamnasa kimoja japo hakikua kikali sana lkn kilikua si haba...

Cha ajabu alianza kububujika machozi kama bomba la DAWASCO hatimaye akaondoma kwenda kwao (hatujaona bado ni mchumba wangu) baada ha kufika kwao alinitumia sms ndefu mno na kumalizia kusema kuwa yeye haolewi na bondia kwa hiyo nimtafute bondia mwenzangu

Sasa simu zangu hapokei wala sms hajibu na kwa maelezo kutoka kwa rafiki yake wa katibu anasema yuko serious harud nyuma na amefunga ukurasa...

JF, JF, JF, JF, why lkn
 
Attachments

Similar Discussions

Back
Top Bottom