kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,705
Tupigwa kwa kunyimwa papuchiWanaume mna roho mbaya nyie[emoji119][emoji119][emoji119].
Hivi nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupigwa kwa kunyimwa papuchiWanaume mna roho mbaya nyie[emoji119][emoji119][emoji119].
Hivi nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alikuwa anatafuta sababu tu kibao kimoja afu asepe moja kwa moja?Ama kweli za kuambiwa changanya na za kwako, hili nimeliamini leo baada ya mambo kunikuta...
Iko hivi kuna mtu aliwahi kuja humu jukwaani kuhusu mada ya kumpiga mwanamke kama ni sahihi au la... Kwenye mjadala huo kuna mdau mmoja alitoa mchango akasema kuwa mwanamke hapigwi maana huwez kumpiga mwanamke unaweza kumuua lakini unachoweza kufanya ni kumnasa hata kibao kimoja tu ili akili imkae sawa, nakumbuka mdau huyo aliungwa mkono sana kwamba wazo lake ni mujarab...
Sasa mimi jana shemej yenu alinitibua nikaona ngoja nimuonje kibao ili akili ikae sawa, nikamnasa kimoja japo hakikua kikali sana lkn kilikua si haba...
Cha ajabu alianza kububujika machozi kama bomba la DAWASCO hatimaye akaondoma kwenda kwao (hatujaona bado ni mchumba wangu) baada ha kufika kwao alinitumia sms ndefu mno na kumalizia kusema kuwa yeye haolewi na bondia kwa hiyo nimtafute bondia mwenzangu
Sasa simu zangu hapokei wala sms hajibu na kwa maelezo kutoka kwa rafiki yake wa karibu anasema yuko serious harud nyuma na amefunga ukurasa...
JF, JF, JF, JF, why lkn
Akimwomba msamaha itakuwa kigezo cha huyo demu kuanza kumtesa. Yani hapo ndo atachukulia point hata siku akikosea atamwambia jamaa Ukinipiga naondokaYani humu watu wanapenda kushauri negative, vitu kama cjui we piga tu, au achana nae, au mpotezee. Ila wao wakikosana na wapenzi wao wanalia hadi kamasi [emoji23]. Hizi fake IDs zisikuharibie maisha halisi. Ni rahisi kwa binadamu kuhukumu tukio ambalo halijamkuta. Km bado unampenda muombe tu msamaha, km huna shida nae sana mpotezee tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kweli za kuambiwa changanya na za kwako, hili nimeliamini leo baada ya mambo kunikuta...
Iko hivi kuna mtu aliwahi kuja humu jukwaani kuhusu mada ya kumpiga mwanamke kama ni sahihi au la... Kwenye mjadala huo kuna mdau mmoja alitoa mchango akasema kuwa mwanamke hapigwi maana huwez kumpiga mwanamke unaweza kumuua lakini unachoweza kufanya ni kumnasa hata kibao kimoja tu ili akili imkae sawa, nakumbuka mdau huyo aliungwa mkono sana kwamba wazo lake ni mujarab...
Sasa mimi jana shemej yenu alinitibua nikaona ngoja nimuonje kibao ili akili ikae sawa, nikamnasa kimoja japo hakikua kikali sana lkn kilikua si haba...
Cha ajabu alianza kububujika machozi kama bomba la DAWASCO hatimaye akaondoma kwenda kwao (hatujaona bado ni mchumba wangu) baada ha kufika kwao alinitumia sms ndefu mno na kumalizia kusema kuwa yeye haolewi na bondia kwa hiyo nimtafute bondia mwenzangu
Sasa simu zangu hapokei wala sms hajibu na kwa maelezo kutoka kwa rafiki yake wa karibu anasema yuko serious harud nyuma na amefunga ukurasa...
JF, JF, JF, JF, why lkn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka, alikuwezaMkuu hii mbinu nilishaitumia lakini baada ya mgegedo nikiwa nimejilaza nahema kama bata na Mimi Nichapwa bonge la Kofi nikavumilia tu ili asiondoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kutafuta kisu yaani mimi ndio nampotezea mazima hata kama nilikuwa napanga kurudi, binadamu tunatofautianaAsiporudi huyo basi alikua na boya mwingine kitambo tuu, akawa anakutafutia gap
Ulichozingua ni kumpigia pigia misimu. Unatakiwa utulie (hivyo unavyotaman arudi nayeye anatamani hivyo hivyo). Ukitaka kumtia BP tafuta kisu cha haraka haraka (kiwe kikali) na umake sure anapata habari.
Ataanza kukutafuta (guaranteed), usioneshe bashaha, potezea baadhi ya phone calls, txt za mwanzo mwanzo usijibu. Baadae utaamua wewe chakufanya.
NB:
Usisahau kunitumia hela ya pepsi baridi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama ulipenda kikwelikweli lazima uumie, and u'll definitely want to know how they relate and if it happens that u know u can get the custody back, u'll surely take that chance.Hapo kwenye kutafuta kisu yaani mimi ndio nampotezea mazima hata kama nilikuwa napanga kurudi, binadamu tunatofautiana
Sent using Jamii Forums mobile app