Wanaume hatukosei,tunajisahau tu. Tukikumbushwa mambo yanakuwa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mshenga utanipa shida rafikiMbona nyie hamujiheshimu pia, mie hata ndoani huna mamlaka ya kunigusa aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hukumu yetu tutaenda kukutana nayo kwa Mungu mwenyewe ila hapa chini ya jua hakuna mwanamke atashindana na mwanaume labda kama akutane na fala!Wanaume mna roho mbaya nyie[emoji119][emoji119][emoji119].
Hivi nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzake hua tunaanza kuwazoesha kwanza kuwalamba makofi wakati wa kuwagegeda.
MKUU acha uogaa wewe, ungetakiwa msimtafute hata kidogo ukae kimya mwanzo mwisho, onyesha uwanaume wakoAma kweli za kuambiwa changanya na za kwako, hili nimeliamini leo baada ya mambo kunikuta...
Iko hivi kuna mtu aliwahi kuja humu jukwaani kuhusu mada ya kumpiga mwanamke kama ni sahihi au la... Kwenye mjadala huo kuna mdau mmoja alitoa mchango akasema kuwa mwanamke hapigwi maana huwez kumpiga mwanamke unaweza kumuua lakini unachoweza kufanya ni kumnasa hata kibao kimoja tu ili akili imkae sawa, nakumbuka mdau huyo aliungwa mkono sana kwamba wazo lake ni mujarab...
Sasa mimi jana shemej yenu alinitibua nikaona ngoja nimuonje kibao ili akili ikae sawa, nikamnasa kimoja japo hakikua kikali sana lkn kilikua si haba...
Cha ajabu alianza kububujika machozi kama bomba la DAWASCO hatimaye akaondoma kwenda kwao (hatujaona bado ni mchumba wangu) baada ha kufika kwao alinitumia sms ndefu mno na kumalizia kusema kuwa yeye haolewi na bondia kwa hiyo nimtafute bondia mwenzangu
Sasa simu zangu hapokei wala sms hajibu na kwa maelezo kutoka kwa rafiki yake wa karibu anasema yuko serious harud nyuma na amefunga ukurasa...
JF, JF, JF, JF, why lkn
Sawa lakini ukumbuke respect ya mwanamke ndoani ndio afya ya ndoa, hamuwezi kuishi kama ukoo wa kambale kila mtu ni mkubwa na ndio mwenye final say, lazima mwanamke ushuke ushuke chini, kweri tena, kama uamini na hutaki basi usiolewe kaa pekeyako, principle number one,hahaha,
Kesha jipambanua angekuwa wife mdomo mrefu achana naeAma kweli za kuambiwa changanya na za kwako, hili nimeliamini leo baada ya mambo kunikuta...