vanmedy
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 2,707
- 1,417
Hahahaaaa noma noma nomaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kweli za kuambiwa changanya na za kwako, hili nimeliamini leo baada ya mambo kunikuta...
Iko hivi kuna mtu aliwahi kuja humu jukwaani kuhusu mada ya kumpiga mwanamke kama ni sahihi au la... Kwenye mjadala huo kuna mdau mmoja alitoa mchango akasema kuwa mwanamke hapigwi maana huwez kumpiga mwanamke unaweza kumuua lakini unachoweza kufanya ni kumnasa hata kibao kimoja tu ili akili imkae sawa, nakumbuka mdau huyo aliungwa mkono sana kwamba wazo lake ni mujarab...
Sasa mimi jana shemej yenu alinitibua nikaona ngoja nimuonje kibao ili akili ikae sawa, nikamnasa kimoja japo hakikua kikali sana lkn kilikua si haba...
Cha ajabu alianza kububujika machozi kama bomba la DAWASCO hatimaye akaondoma kwenda kwao (hatujaona bado ni mchumba wangu) baada ha kufika kwao alinitumia sms ndefu mno na kumalizia kusema kuwa yeye haolewi na bondia kwa hiyo nimtafute bondia mwenzangu
Sasa simu zangu hapokei wala sms hajibu na kwa maelezo kutoka kwa rafiki yake wa katibu anasema yuko serious harud nyuma na amefunga ukurasa...
JF, JF, JF, JF, why lkn
Sent using Jamii Forums mobile app