Wadau wa MMU, hii imekaaje

Wadau wa MMU, hii imekaaje

Ina maana jamaa kapitia process zote za kuoa kabisa wakati ana mke mwingine ndani?

ila DSM kuna vituko!

Excel mwanamke ndo kafunga ndoa nyingine
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ipo na inatokea sana tu hasa talaka inapokuwa ngumu kutoka yaani sitaki nataka.
 
Alikuwa hampendi mumewe,au ndoa ya kwanza hakufunga akaona yuko huru akafunga na ampendaye
 
Back
Top Bottom