ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,843
- 72,735
Unavaa namba ngapi?
Unavaa namba ngapi?
Unasubiri nini sasa😄Badoo😂🙌🏿
Naviomba mimi hivi, ninavyo vya brown yake sivipendi vimekaa kiume!😒
Huu mguu unafaa sana kwa kilimo cha vitunguu.
Bwashee mbona viatu vina makasiriko kama yote?Ndio nimetoka kibaruani , najiandaa kwenda kupiga kilaji🍻
View attachment 3623711
Sura sio roho BwasheeBwashee mbona viatu vina makasiriko kama yote?
Yani viatu vimesha lewa kabla yako.Sura sio roho Bwashee
Sidhani bwasheeYani viatu vimesha lewa kabla yako.
Siwezi, labda nininuliweUnasubiri nini sasa😄
Uje uvibebeNaviomba mimi hivi, ninavyo vya brown yake sivipendi vimekaa kiume!😒
🤣🤣🙌🏿Tuambie wewe ni gen z bila kutuambia kwamba wewe ni gen z.
Hata babes wako tu😧Siwezi, labda nininuliwe
On ma way!Uje uvibebe

Nahisi niHata babes wako tu😧
Uwahi🤣On ma way!![]()
Unapenda kuvaa nini sasaNahisi ni
vile sipendi sana kuvaa viatu