Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,795
- 16,402
Kama mimi tuNiko kwa bed we miss
Hahaha š
Ila mossimo hapana this is 2026 we level up
Kama mimi tuNiko kwa bed we miss
Hahaha š
Aah nilishaachaga kitambo 2023 I thinkKama mimi tu
Ila mossimo hapana this is 2026 we level up
Ewaaa safi sanaAah nilishaachaga kitambo 2023 I think
Napemba mtumba mie
Pia boots/travolta ndo mikato yangu sikuhiz unless siku za jpil heels š¤£š¤£
Sasa mbona hamkusemaš„¹Kama mimi tu
Ila mossimo hapana this is 2026 we level up
HahaaSasa mbona hamkusemaš„¹
Una pair ngapi shogaangu š¤£š¤£š¤£š¤£Sasa mbona hamkusemaš„¹
Mbili tu jameniUna pair ngapi shogaangu š¤£š¤£š¤£š¤£
ššššUna pair ngapi shogaangu š¤£š¤£š¤£š¤£
Mi raba sio code zangu ila nimenunua pair 1 tu navalia gauni mara nyingiEwaaa safi sana
Japo mimi travota sijawahi kuvaa
Ni mwendo wa heels kazini,
Raba weekends open sandals na crocs ššš
Hili ni agizoMbili tu jameni
Na sendo zake kama zotešš½āāļø
Ninavyo pia napitwaje ila Kazini sasa siwezi kuvivaa kila sikušHili ni agizo
Iwe mwisho kuvaa mossimo š¤£š¤£š¤£š¤£
Sasa hv tumehamia kwenye ballerina shoes
Mie ss na brand ya HM aloooHili ni agizo
Iwe mwisho kuvaa mossimo š¤£š¤£š¤£š¤£
Sasa hv tumehamia kwenye ballerina shoes
Yes nzuri mnoo nina tracksuit yake nililetewa kutoka mamtoni ni nzuri sanaMie ss na brand ya HM alooo
Ukikuta mtumba simple ta hiyo brandš
Au heels zake dukani ni balaa
Kazini tunavaa heels au mid heel ukishindwa kabisa vaa hata kittenNinavyo pia napitwaje ila Kazini sasa siwezi kuvivaa kila sikuš
Nina heels yake nilinunu 70kYes nzuri mnoo nina tracksuit yake nililetewa kutoka mamtoni ni nzuri sana
Na vitu vyake ni imara mno ht ukipata mtumba bado utadumuNina heels yake nilinunu 70k
Aisee ina km 6 yrs now ndo imechoka tena kwa kuchubuka tu rangi maana nilinunua silver hatari
Yule dada anaishi Belgium alikuwa na duka karibu na mwenge
Yes mi simple zangu %kubwa ni hmNa vitu vyake ni imara mno ht ukipata mtumba bado utadumu