Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 31,675
- 90,534
Aah jamani na hizi kilo hills navaa shereheni na kanisani tu😂Kazini tunavaa heels au mid heel ukishindwa kabisa vaa hata kitten
Aah jamani na hizi kilo hills navaa shereheni na kanisani tu😂Kazini tunavaa heels au mid heel ukishindwa kabisa vaa hata kitten
Utashangaa Laki hapaMambo yetu runners
View attachment 3623897
Kujiona bonge, shauri yakoAah jamani na hizi kilo hills navaa shereheni na kanisani tu😂
Mimi sitaki hizi kilos jamani🥹Kujiona bonge, shauri yako
Na mabonge wasemeje
Amua ubaki na unazotakaMimi sitaki hizi kilos jamani🥹
Hebu nizipunguze december haiwezi kunikuta hivi🥹Amua ubaki na unazotaka
Mi nimepungua sn nilikuwa na stress 😩
Ila nishaanza kujiachia tena
HahahaHebu nizipunguze december haiwezi kunikuta hivi🥹
Ukitaja namba ya mguu wako punguza sauti.41/42 hii haikukai wewe,
Chai.Ukitaja namba ya mguu wako punguza sauti.
Navaa 41/42
Chukua maandazi ushushie!Chai.
Yaani wewe kifupi kiandunje uvae 42? Hapana.Chukua maandazi ushushie!
Mimi navaa 44 na sio mrefu kivile.Hapa tu nimemshangaa Mad Max alivyo tall mguu wake uwe 41/42.
Umeamini eeh!Mimi navaa 44 na sio mrefu kivile.
Kuna watu tuna mamiguu mabaya tu.
Wewe hapana, mwisho 39. Hapana!Umeamini eeh!
Basi utakuwa wale wa "guu la bia".Umeamini eeh!
Kisa?Basi utakuwa wale wa "guu la bia".
Ni ngumu KE kuvaa namba kubwa.Kisa?