sindikiza na picha tukanunulie mario wetu!Kuna kiatu brand clark brand toka uingereza, sijawahi nunua kiatu zaidi ya laki mbili ndio hiki sasa😀😀
Ina material kama sued hivi natoka bomba sana nikila na jeans na t shirt na saa mkononi😀😀 mbona utanitaka bintisindikiza na picha tukanunulie mario wetu!
kumbe hizi ndio clerk! kinaonekana ni kitamu! Eti ntakutaka,kwa hizo codes lazima nidate! saa hizi nikikutana na kijana kakivaa ntakuwa namuangalia angalia! 🤣Ina material kama sued hivi natoka bomba sana nikila na jeans na t shirt na saa mkononi😀😀 mbona utanitaka binti
Clarks ni brand. Cheki hizo zinaitwa suedkumbe hizi ndio clerk! kinaonekana ni kitamu! Eti ntakutaka,kwa hizo codes lazima nidate! saa hizi nikikutana na kijana kakivaa ntakuwa namuangalia angalia! 🤣
Nyakati Vita Watu Hawaoiweka vitu! nishasikia we muoaji huwezi juwa 😎
oh vimekaa poa!Clarks ni brand. Cheki hizo unaweza ita sued
uko vitani kumbe!Nyakati Vita Watu Hawaoi
Ukiona mtu kavaa hivyo jua kaweka hela nyingi😀😀oh vimekaa poa!
Ndio maana huwa tunaangalia na viatu kumbe kuna watu wako serious na footwear kabisa!Ukiona mtu kavaa hivyo jua kaweka hela nyingi😀😀
Hapana, kwanini watu wananifananaisha naye sana? yupo hapo juu kaacha comment sio muda!
onesha tuaminiLeo natembea peku pekuuu tuu
onesha tuamini
Hapana Nipo Lugoba Chalinzeuko vitani kumbe!
sasa shida iko wapi?Hapana Nipo Lugoba Chalinze