RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,872
- 137,182
Ha ha ha imported. £25 SALE.Utashangaa Laki hapa
Ha ha ha imported. £25 SALE.Utashangaa Laki hapa
Mimi kiatu cha kawaida navaa 44, Raba ya running 46(long runs inabidi kiatu kiwe kikubwa kuepusha kuumia vidole na kucha kutoka)Mimi navaa 44 na sio mrefu kivile.
Kuna watu tuna mamiguu mabaya tu.
Nna hiyo mosimo nilinunua mwenge 2020 mpaka leo hamna sehemu iliyochunika wala sijawahi kuingiza uzi wa fundiNatamani nipate ht cha silver ssh fake kibao
Labda km nitapata mtumbaNna hiyo mosimo nilinunua mwenge 2020 mpaka leo hamna sehemu iliyochunika wala sijawahi kuingiza uzi wa fundi
Ni kweli mossimo ni kiatu imara sana kama ulipata original utakaa nacho hata 10yrsNna hiyo mosimo nilinunua mwenge 2020 mpaka leo hamna sehemu iliyochunika wala sijawahi kuingiza uzi wa fundi
Amna mbona hata hizi za dukani nzuri zipo… usnunue hizi zinazojikunja kati .. tafuta zile zilizonyooka na uangalie soli kama ngumu, mie nlinunua 25kLabda km nitapata mtumba
Yani nilibahatika na kuwa makini tuNi kweli mossimo ni kiatu imara sana kama ulipata original utakaa nacho hata 10yrs
😄😄Missy Gf ulisema kweli🙆🏽♀️View attachment 3679623
Ndo kiatu gani hiko! Hebu tuoneMimi nimevaa tangulia naja!
We ni mrefu sie wafupi nyundo hatuwezi kuiga mamaake😄😄
noma sana ndo maana mi nishatoka huko....
humu tu...Proudly sponsored by 1 n only ...thank u bebe😍
😃😃😃duh eti upo tayari kwa lolote nimechekaWe ni mrefu sie wafupi nyundo hatuwezi kuiga mamaake
Bora we mwenye baby wako, wengine tupo tayari kwa lolote😁
Hahahaha Ona zinavyowaka kama kioo 🤣Missy Gf ulisema kweli🙆🏽♀️View attachment 3679623
Aibu utaona wewe😀Hahahaha Ona zinavyowaka kama kioo 🤣