Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,025
- 97,748
NawahiUwahi🤣

NawahiUwahi🤣

SandlesUnapenda kuvaa nini sasa
Sio issue, ila ukiajiriwa utaanza kununua tu! Kuna sehemu ukianza kwenda kama mazoezini au nyumba za ibada, dinner na kwingineko huwezi vaa sandles..Sandles
Nimejaribu kuvaa hili famba😁Wacha wee🤭
Umejitahidi, mimi tofauti na michezo sivai😁Nimejaribu kuvaa hili famba😁
Mie msimu huu wa vumbi na baridi,sitembei na viatu vya wazi.Umejitahidi, mimi tofauti na michezo sivai😁
Vizuri🔥
Natamani nipate ht cha silver ssh fake kibaoMosimo😍
Kumbe tupo wengiMie msimu huu wa vumbi na baridi,sitembei na viatu vya wazi.
Mkaka akivaa hivi anapendeza kwakweli
Tatizo kiatu hakiendani na dress code, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angepata raba hapo, mbna n [emoji91][emoji91][emoji91]
Ukizoea hivi vya wazi huvitamani😁,Kumbe tupo wengi
Sipendi viatu vya wazi
Hebu tupia ulichovaa leoNatamani nipate ht cha silver ssh fake kibao
Niko kwa bed we missHebu tupia ulichovaa leo