wadau wa hammer kitu hiyoo.

Mkuu hii si hammer, inaitwa humvee, ni magari ya kijeshi yanayotumiwa na serikali ya marekani, wanayatumia sana iraq na afghanistan sasa wewe sijui umelipata wapi?

silent nimeliita hammer kwa sababu nilijua ndo litaeleweka kirahisi kwani wa tz wengi hawalijui humvee.
 
Mkuu hii si hammer, inaitwa humvee, ni magari ya kijeshi yanayotumiwa na serikali ya marekani, wanayatumia sana iraq na afghanistan sasa wewe sijui umelipata wapi?

Mkuu sasa ujue kua hummer ni commercial product ya humvees..wamelimodify kutoka magari ya kijeshi ya kimarekani na kuyafanya kuweza kutumika na watu binafsi..tuseme hummer ni zao la humvees..
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Left hand or right hand drive?
Petrol or Diesel?
Fuel consumption km/litre?
Engine capacity?
Spares and service kits?

Mkuu hata kwa kwendea mbugani hilo halifai, maana mbung'o watakumaliza(so price goes down!)
Hata hivyo sema bei.

Left Hand mkuu
 
why wewe unaliuza?
nenda nalo mwenyewe mbugani? jamaa wakija wanajisevia limbs bila wasiwasi....
 
...baya!
attachment.php
 
Milango yake iko wapi kaka au ndio hapo hapo basi? Manake limekaa mkao wa vita kuwa saa yoyote mtu anashuka chap chap.....sasa miye kyekue si ntaporomoka?
 
Kama nikivaa nguo tu inayofanana na rangi za jeshi la nchi yoyote wajeda wanaweza hata kukutia ulemavu, itakuwaje wakiniona na hili jitu tena kubwa kiasi hiki. Daaah, gari zuri ila naogopa wajeda
 
nataka kuhama tanzania mkuu na huko nitakakohamia nataka kwenda na cash ili nikanunue huko.

haya basi lipige rangi nyingine tuligombanie......manake nikiliona hili inanijia taswira ya kumsaka osama au gadafi majangwani.....
 
Mkuu naona uko mkoani hamna shida sana, hapa mjini wenegeshi lao hawawezi kurikamata kweri!!
 
Left hand or right hand drive?
Petrol or Diesel?
Fuel consumption km/litre?
Engine capacity?
Spares and service kits?

Mkuu hata kwa kwendea mbugani hilo halifai, maana mbung'o watakumaliza(so price goes down!)
Hata hivyo sema bei.
hiyo ni left hand drive mkuu just take a closer look @ it
 
Milango yake iko wapi kaka au ndio hapo hapo basi? Manake limekaa mkao wa vita kuwa saa yoyote mtu anashuka chap chap.....sasa miye kyekue si ntaporomoka?

hivi kwenu milango ni top au ni nafasi ya kupitia?
milango si hiyo hapo au unapoangalia mpaka ukaona viti unafikiri hhayo ni madirisha?
 
haya basi lipige rangi nyingine tuligombanie......manake nikiliona hili inanijia taswira ya kumsaka osama au gadafi majangwani.....

hilo linauzwa kama lilivyo kama unataka rangi nyingine ni pendekezo lako.
 
Mkuu sasa ujue kua hummer ni commercial product ya humvees..wamelimodify kutoka magari ya kijeshi ya kimarekani na kuyafanya kuweza kutumika na watu binafsi..tuseme hummer ni zao la humvees..

Humvee lilikuwa linachukuliwa kama H1...H2 na H3 ndizo zikawa commercial products zake kwa ajili ya public uses and fantasy..
 
jamani hamna hela au mnaogopa muundo?

Wese ni kimeo hapo chifu...halafu kwa matumizi ya town naona halifai..kubwa mno kwa barabara zetu za kibongo. Fahamu H2 na H3 angalau zilipunguzwa ukubwa ili ku-suit matumizi ya kimjini..hilo Humvee linafaa porini huko; au nenda kawauzie TANAPA ili walitumie kupambana na majangiri - poachers.
 
Mmmh Millitary Specs No thank you....kisa cha Kuja Kulipuliwa kwenye kibanda changu na Alqaeda na Alshaabab ..mpaka waje kujua kama mimi mnyakkyusa too late ...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom