wadau wa hammer kitu hiyoo.

wadau wa hammer kitu hiyoo.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,134
kwa wale wajanja wanaojua hii kitu wawasiliane na mimi,imesajiliwa tanzania na imelipiwa kodi zote bei maelewano.
piga namba hii 0754533784
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    923.6 KB · Views: 1,529
kazi ipo jameni mi nikajua watu wanajiandaa na jeshi la msituni
 
Hii inaweza kufaa kwa tours huku Chugga.
Kwa kulia bata, no way!
 
Hii sio Hama ya starehe, mmehaiba makarandika ya jeshi Huko Syria.
 
Mkuu hii si hammer, inaitwa humvee, ni magari ya kijeshi yanayotumiwa na serikali ya marekani, wanayatumia sana iraq na afghanistan sasa wewe sijui umelipata wapi?
 
Gari la kivita hilo nilipeleke wapi?
Kwanza watoto wangu wakiliona wataanza kulia kwa jinsi linavyo tisha
 
Maadamu imeshafika tanzania, natumai ni nzuri kwa shuguli ya kuwindia faru
 
Ukiingia nalo kijijini, watu watakimbia; watafikiri vita vimeingia.
 
Left hand or right hand drive?
Petrol or Diesel?
Fuel consumption km/litre?
Engine capacity?
Spares and service kits?

Mkuu hata kwa kwendea mbugani hilo halifai, maana mbung'o watakumaliza(so price goes down!)
Hata hivyo sema bei.
 
he he he he he he he he he he he he he he he he he he he he he he
 
Hii ni model gani? H1, H2 or H3. all in all huwa siyapendi kihivyo yanasura mbaya halafu haya speed ya vile kama unaendesha trekta kweli bana!
 
Mkuu hii si hammer, inaitwa humvee, ni magari ya kijeshi yanayotumiwa na serikali ya marekani, wanayatumia sana iraq na afghanistan sasa wewe sijui umelipata wapi?

High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicle (HMMWV), colloquially known as the Humvee
 
Hii ni model gani? H1, H2 or H3. all in all huwa siyapendi kihivyo yanasura mbaya halafu haya speed ya vile kama unaendesha trekta kweli bana!
madamex usiliogope liko vizuri na mwendo si mbaya sana liko strong na bei yake sio mbaya.
 
Back
Top Bottom