Wadau wa field ya saikolojia hasa unasihi

Wadau wa field ya saikolojia hasa unasihi

Joined
Jul 11, 2023
Posts
9
Reaction score
7
Habari ya mchana huu wana JF mimi ni mhitimu wa bachelor degree of counselling psychology 2018 Uganda Martyrs University nipo hapa kuungana na familia hii kutafuta fursa hasa kwenye field yangu since nimehitimu na kurudi nyumbani imekuwa tofauti na matalajio niliokuwa nayo tafadhari naleta hoja mezani!
 
ILIKUAJE ukaacha kusoma Makerere University ukaenda kusoma Chuo hiko??hakina tofauti na KIU,wakati mwingine Vyuo mnavyosoma inakuwa ni tatizo
 
Chillax MKuu,pyschotherapy is the next big thing,jiandae kufungua kampuni maana watz,afya ya akili inatumaliza.
 
Back
Top Bottom