Wadau tupieni wazo la Mwaka

Wadau tupieni wazo la Mwaka

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
1. Hebu fikiria unafuga mbwa halafu ni mvivu kiac kwamba mbwa wa jirani akibweka nae anaitikia ''Me too''
2. Ndoa ni Mbwembwe tu mapenzi yapo nyumba ndogo.
3. Siyo kila mbeba jembe anaenda kulima wengine wanaenda kukata 'gogo'
4. Atauwe na heshima vipi huwez muita mama mkwe honey.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom