Prof achanganyi na akili zake bali anajichanganya? Ilikuwaje Lowassa hakupata utetezi kama huu wa Pinda et al?... Mwisho atajichanganya vibaya kiasi cha kuibua siri ya ndani ya TEUZI DUME!!!
Aisee ni katuni ya maana sana ukichanganya na matendo ya jamaa.Oooh okay. ..mimi nilidhani katuni yaaana kumbe ni vasco dagama aka fast jet....huyo hatumtaki amalize muda wake aondoke zake.
December 16th 2014
Raia lazima wajue tena kwa ufasaha kabisa kuwa kamwe nchi haiwezi ongozwa kwa kelele za barabaran bali kwa umakin na busara kwa kiongozi mkuu.hongera prof kwa kuto ongozwa kwa kelele za barabaran hongera kwa utumishi wa uadilifu na haki