Wadau Tazameni Hii KATUNI kwa Kiundani Sana...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
December 16th 2014

10329100_10152478755952651_8405470617531662199_n.jpg
 
Oooh okay. ..mimi nilidhani katuni yaaana kumbe ni vasco dagama aka fast jet....huyo hatumtaki amalize muda wake aondoke zake.
 
Prof achanganyi na akili zake bali anajichanganya? Ilikuwaje Lowassa hakupata utetezi kama huu wa Pinda et al?... Mwisho atajichanganya vibaya kiasi cha kuibua siri ya ndani ya TEUZI DUME!!!
 
Prof achanganyi na akili zake bali anajichanganya? Ilikuwaje Lowassa hakupata utetezi kama huu wa Pinda et al?... Mwisho atajichanganya vibaya kiasi cha kuibua siri ya ndani ya TEUZI DUME!!!

Kuna Sheikh alipata kutabiri kuwa katika mwaka fulani wa uchaguzi wanaodanganyika wangepata mkuu wa kaya anayenyonyesha, baada ya uchaguzi kufanyika ushindi ulichukuliwa na asiye na kifua kipana wala mpango wa kunyonyesha, watu wakamwendea Sheikh na kumwuliza kulikoni hadi utabiri wako ukawa kinyume, yule Sheikh akawaambia jamani kwani huyo aliyeshinda hamuoni anafanana na niliyematabiri? Wakamjibu "la hasha!" akawaambia je mmeona katika kidevu chake akiwa na unywele hata mmoja?!.....basi wakapaza sauti na kusema sheikh.asulubiwe, lakini je......
 
Wabongo washachoka kupita maelezo......hili nimelithibitisha kwenye serikali za mitaa,sasa hii katuni nayo Ndio kabisa.........
 
Raia lazima wajue tena kwa ufasaha kabisa kuwa kamwe nchi haiwezi ongozwa kwa kelele za barabaran bali kwa umakin na busara kwa kiongozi mkuu.hongera prof kwa kuto ongozwa kwa kelele za barabaran hongera kwa utumishi wa uadilifu na haki
 
Humtendei haki Comrade Sankara kwa kuwa na mawazo mgando hivi...
 
Daaaa!!! Prof kweli anachanganya na za kwake.
Eskro kapiga sasa anajilinda kwa kutumia urais wake kuanzia kwenye katiba-deal zake za wizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom