Umeona eeh!
[/ meno hana hata kumumunya anashindwa,watu wanachezea bahati nyie.
usiishie kusema anahitaji ushauri naomba utoe kile unachoona kinahitajika kutolewa ndo maana nimeomba ushauri toka kwenuMaskini wajukuu zangu!
Wakibania ni shida na pia wakitoa basi taabu!
Huyu dogo ndiye hajitambui. Anahitaji ushuri kuboresha stadi zake za MMU!
usiishie kusema anahitaji ushauri naomba utoe kile unachoona kinahitajika kutolewa ndo maana nimeomba ushauri toka kwenu