Wadau nishaurini

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
250
Kuna msichana mmoja nilifahamiana nae mwaka jana! tukaingia kwenye mahusiano lakini niliogopa manake alionyesha kuniamini saana! na akawa tayari kwa lolote ilihali tumefahamiana nae ndani ya muda mfupi! wala hajapata hata muda wa kunisoma kujua jinsi nilivyo pamoja na tabia zangu! yaani alikuwa na kasi mno mpaka ikanitisha,kwa kweli nilikataa hata ku-do naye kila alipotaka nilimpiga chenga. nikaamua kuachana nae manake niliogopa ile kasi yake manake alijiweka very cheap.
nilipotezea toka mwaka jana mwezi wa saba mpaka mwaka huu nikamtafuata nilikutana nae nikapiga nae stori sana akaniambia ana bf wanataka waoane mwakani mwezi December na wameshatambulishana nyumbani! ila huyo Bf wake yupo mkoa tofauti na yeye! lakini cha ajabu dada yule anapenda sana kampani yangu! mara wikiend nyingi anataka tutoke wote outing! Juzi nimejaribu kumpima nikamwambia tuka do! kilichonishangaza she agrees with me! pasipo hata kipingamizi chochote! Yaani yupo tayari kumsaliti huyo Bf wake! Nilishangaa japo sikumwambia kitu chochote!
Wana MMU naombeni mnambie hivi mambo ndivyo yalivyo hivi au nimwelewe vp huyu rafiki yangu? au ana maradhi anataka kuyasambaza?
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,538
13,440
Si umuulize? Usifanye nusu utafiti halafu ulete nusu results utegemee watu wakufanyie conclusion!
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
20,837
27,469
wee mwenyewe kigeugeu...sasa kwa nini ukuibatua bupa hiyo. sasa kama cheap ya nini ukae unamtafuta na kumtega mwenzio kuhisu kugegedana?
bwana wanawake kugegedwa na mwanaume zaidi ya mmoja kitu kawaida tuu....mbona wanaume tunafanya. nao wanapende dushelele mbalimbali ebo!!!
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,872
4,528
Kuna msichana mmoja nilifahamiana nae mwaka jana! tukaingia kwenye mahusiano lakini niliogopa manake alionyesha kuniamini saana! na akawa tayari kwa lolote ilihali tumefahamiana nae ndani ya muda mfupi! wala hajapata hata muda wa kunisoma kujua jinsi nilivyo pamoja na tabia zangu! yaani alikuwa na kasi mno mpaka ikanitisha,kwa kweli nilikataa hata ku-do naye kila alipotaka nilimpiga chenga. nikaamua kuachana nae manake niliogopa ile kasi yake manake alijiweka very cheap.
nilipotezea toka mwaka jana mwezi wa saba mpaka mwaka huu nikamtafuata nilikutana nae nikapiga nae stori sana akaniambia ana bf wanataka waoane mwakani mwezi December na wameshatambulishana nyumbani! ila huyo Bf wake yupo mkoa tofauti na yeye! lakini cha ajabu dada yule anapenda sana kampani yangu! mara wikiend nyingi anataka tutoke wote outing! Juzi nimejaribu kumpima nikamwambia tuka do! kilichonishangaza she agrees with me! pasipo hata kipingamizi chochote! Yaani yupo tayari kumsaliti huyo Bf wake! Nilishangaa japo sikumwambia kitu chochote!
Wana MMU naombeni mnambie hivi mambo ndivyo yalivyo hivi au nimwelewe vp huyu rafiki yangu? au ana maradhi anataka kuyasambaza?

Ukiachia mbali haraka na papara zake zilizoku- piss off mwanzoni, huyu hakufai. Kama anaweza kumsaliti huyo ambaye wameishafika mbali kiasi hicho atashindwa nini kukusaliti wewe? Anaonekana kuwa kama daladala au taxi ambaye anaweza kubeba yeyote--hajatulia. Isitoshe kwa muda ambao hamkuonana hujui amewabeba na kuwashit wangapi ukiachia mbali kuwasaliti. Usipoteze muda wako na mtu ambaye hajui la kufanya wala la kushika. Huo ndiyo ushauri wangu mfupi kwa leo.
 
HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,558
Ulimpotezea tangu mwaka jana, mwaka huu ulimtafuta kwa ajili ya nini? Kazi kweli kweli!
Anyway, anaonekana kana kwamba hakuwa na malengo ya muda mrefu na wewe zaidi ya kutamani kampani yako na ku-do na wewe. Nafikiri ndiyo maana hata baada ya kumpotezea mwaka mzima ulipomtafuta na kumuomba ku-do hajakataa maana kiu yake bado ipo.

Kama ni kweli ana BF si jambo jema kuendelea naye. Ni vyema utumie muda huu kumtafuta mtu ambaye utakuwa naye kwa miaka ijayo na siyo hawa wenye watu wao, watakupotezea muda. Hata kama hana, pia jaribu kuchunguza mienendo na tabia zake, usije ukajikuta umezama kwa shangingi lililokubuhu!!!
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
250
sasa ulipiga show au uliacha?lakini inaonekana na wewe unamtaka huyu demu kama humtaki kwanini ulimtafuta?
show ya cheap huwa ina matatzo yake nilisepa fasta! Just nilimtafuta manake alikuwa mshkaji wangu sana! so nilipomkimbia after one year nikajua atakuwa ameshachange
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
250
wee mwenyewe kigeugeu...sasa kwa nini ukuibatua bupa hiyo. sasa kama cheap ya nini ukae unamtafuta na kumtega mwenzio kuhisu kugegedana? bwana wanawake kugegedwa na mwanaume zaidi ya mmoja kitu kawaida tuu....mbona wanaume tunafanya. nao wanapende dushelele mbalimbali ebo!!!
Mmmh aise kumbe ndo mambo yalivyo umenifumbua macho
 
Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
1,060
Ukiachia mbali haraka na papara zake zilizoku- piss off mwanzoni, huyu hakufai. Kama anaweza kumsaliti huyo ambaye wameishafika mbali kiasi hicho atashindwa nini kukusaliti wewe? Anaonekana kuwa kama daladala au taxi ambaye anaweza kubeba yeyote--hajatulia. Isitoshe kwa muda ambao hamkuonana hujui amewabeba na kuwashit wangapi ukiachia mbali kuwasaliti. Usipoteze muda wako na mtu ambaye hajui la kufanya wala la kushika. Huo ndiyo ushauri wangu mfupi kwa leo.

hapo unamhukumu bure, dada wa watu alikupenda kidhati na bado anakupenda wewe uliona she is cheap, kwani kumtambulisha mu home ndio kujifunga,, we kama una nia ya kweli kapimeni, manzishe new page, unamuona msaliti kwa mpenzi wake coz amekupenda wewe haimaanishi kila mtu anamfanyia hivyo lol,jaribunu kuuona upendo wa kweli unapotokea jamani
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
250
hapo unamhukumu bure, dada wa watu alikupenda kidhati na bado anakupenda wewe uliona she is cheap, kwani kumtambulisha mu home ndio kujifunga,, we kama una nia ya kweli kapimeni, manzishe new page, unamuona msaliti kwa mpenzi wake coz amekupenda wewe haimaanishi kila mtu anamfanyia hivyo lol,jaribunu kuuona upendo wa kweli unapotokea jamani
Jamani raha ya kutongoza uzungushwe! Uzinguliwe uletewe pozi at last ukubaliwe! lakini hii ambayo kabla hujatamka umekubaliwa mi naikimbia!
mwanamke akinitongoza asahau kunipata
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
29,049
We naweeee! Why are you so rude kwa huyo dada!!!!!! Nini kosa lake? Kukupenda? Acha hizo bana, hana Bf wala nini she jst wants to taste your glory!!!!!!!!

Mi nakushauri kama huna commitment wewe banjuka nae tu for fun na kupoozeana ugumu wa maisha! Jst be frank kuwa no strings attatched! Jst pure fun! Mliendeleze libeneke hiloooo! Chonde chonde usisahau stads/condoms hukawii kupewa zawadi ya kimwana!!!!!!!!!!
 
we kiboko kwa kweli
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
49,750
35,817
zema21 huyo dada ana kupenda,na pengine ana kupenda sana ndio maana hata ana shindwa kujizuia!

Hivi unafikiri ambaye akuulizi kuhusu penzi ndiyo siyo cheap?
Pengine huyu dada aliamua kuweka wazi hisia zake kwako we ukachukulia tofauti! Na unatakiwa ujue mtu anapo mpenda mtu anajitoa kwake na kumuamini.

Pengine unaweza kupata mwingine tena ana kwambia hataki mfanye mpaka siku ya ndoa we ukamuamini ana jitunza kumbe anatembea na mwingine!
Mapenzi ni zaidi ya kujitoa muhanga!
Kuna msichana mmoja nilifahamiana nae mwaka jana! tukaingia kwenye mahusiano lakini niliogopa manake alionyesha kuniamini saana! na akawa tayari kwa lolote ilihali tumefahamiana nae ndani ya muda mfupi! wala hajapata hata muda wa kunisoma kujua jinsi nilivyo pamoja na tabia zangu! yaani alikuwa na kasi mno mpaka ikanitisha,kwa kweli nilikataa hata ku-do naye kila alipotaka nilimpiga chenga. nikaamua kuachana nae manake niliogopa ile kasi yake manake alijiweka very cheap.
nilipotezea toka mwaka jana mwezi wa saba mpaka mwaka huu nikamtafuata nilikutana nae nikapiga nae stori sana akaniambia ana bf wanataka waoane mwakani mwezi December na wameshatambulishana nyumbani! ila huyo Bf wake yupo mkoa tofauti na yeye! lakini cha ajabu dada yule anapenda sana kampani yangu! mara wikiend nyingi anataka tutoke wote outing! Juzi nimejaribu kumpima nikamwambia tuka do! kilichonishangaza she agrees with me! pasipo hata kipingamizi chochote! Yaani yupo tayari kumsaliti huyo Bf wake! Nilishangaa japo sikumwambia kitu chochote!
Wana MMU naombeni mnambie hivi mambo ndivyo yalivyo hivi au nimwelewe vp huyu rafiki yangu? au ana maradhi anataka kuyasambaza?
 
Last edited by a moderator:

neggirl

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
4,836
2,094
Weee kama unampendaa kwa nini unafanya staki nataka??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
DSpecial

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
479
158
We naweeee! Why are you so rude kwa huyo dada!!!!!! Nini kosa lake? Kukupenda? Acha hizo bana, hana Bf wala nini she jst wants to taste your glory!!!!!!!!

Mi nakushauri kama huna commitment wewe banjuka nae tu for fun na kupoozeana ugumu wa maisha! Jst be frank kuwa no strings attatched! Jst pure fun! Mliendeleze libeneke hiloooo! Chonde chonde usisahau stads/condoms hukawii kupewa zawadi ya kimwana!!!!!!!!!!

Nimecheka sanaa.......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom