Wadau nini maana ya neno demu?

Eng Mose

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
242
Reaction score
323
Wadau habari... Kwa dada zetu.., hv nini maana ya neno Demu, na vipi mnajisikiaje mkiitwa na wapenzi wenu demu.? Ufafanuzi please maana hili neno kwa kingereza lina maana nyingine ila kwetu naona lina maana nyingine
 
Ukiona unaitwa demu ujue fika we niwakupita .
 
Unaweza kujikuta unapotosha au unapotoka.

Dame (Am/E) msichana ambaye hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano.

Tumelitoa huko na tunalitumia kuwaita wapenzi wetu. na ukichunguza utaona kuwa neno hili halitumiki kwa wanawake walioolewa.

kwa ufupi ni neno la mtaani lenye maana sawa na neno MPENZI.
 
Dame kwenye kilimo linamaanisha ng'ombe jike tayari yupo heat apandwe na fahari azae .Kiswahili tumetohoa kulingana na hiyo maana juu?
 
Wadau habari... Kwa dada zetu.., hv nini maana ya neno Demu, na vipi mnajisikiaje mkiitwa na wapenzi wenu demu.? Ufafanuzi please maana hili neno kwa kingereza lina maana nyingine ila kwetu naona lina maana nyingine

Huwezi kuuliza swali la kitoto kama hili na kama umefikia kuuliza hivi basi uwezo wako wa kufikiria na kupambanua mambo ni mdogo sana...shame on you mtu unayejiita Eng ambaye unashindwa kutofauti maneno mawili kutoka lugha tofauti na maana tofauti soma phonology
 
Mkuu sijaitwa mimi, nimekuta mahali dada zetu wanakataa kuitwa hv [emoji16][emoji16]
Hao wadada wanaokataa nao.pia huwaita mademu wenzao. So inabidi tuwashangae nao pia
 
Mnhh... Lilifikaje Bongo!??
 
kuna dictionary wamedefine ivo neno Dame

Sent from my SM-A700K using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…