L Lotus 123 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2021 Posts 3,151 Reaction score 5,534 Feb 18, 2023 #1 Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I π you Zumaridi
Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I π you Zumaridi
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,291 Reaction score 96,521 Feb 18, 2023 #2 tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa Sana na zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu zumaridi,I π you zumaridi Click to expand... 1 Kor 6:18-20 Ikimbieni zinaa.
tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa Sana na zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu zumaridi,I π you zumaridi Click to expand... 1 Kor 6:18-20 Ikimbieni zinaa.
C converterr JF-Expert Member Joined Jan 28, 2023 Posts 294 Reaction score 594 Feb 18, 2023 #3 njoo nikuuzie ninae nyumbani.tena nimpya kabisa.
N niquetamere JF-Expert Member Joined Jan 26, 2023 Posts 532 Reaction score 1,016 Feb 18, 2023 #4 Mbona mnakuwa wapumbavu sana. Kwanini haya maswali usiende kumuuliza mama ako?
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,976 Reaction score 3,738 Feb 18, 2023 #5 Ungempambania wakati wa shida
N Noahs Ark JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,138 Reaction score 3,886 Feb 18, 2023 #6 Kashajipodoa tayari....alipokuwa mahabusu na sura OG mlikuwa kimya
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,766 Reaction score 14,777 Feb 18, 2023 #7 Itakuwa huko mbinguni kusha malizika makazi wote tuliobaki mtaniona mimi kaka yake shetani na viwanja vya kutosha motoni
Itakuwa huko mbinguni kusha malizika makazi wote tuliobaki mtaniona mimi kaka yake shetani na viwanja vya kutosha motoni
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Feb 18, 2023 #8 Umeanza kumpenda leo?
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,585 Reaction score 11,260 Feb 18, 2023 #9 Atarudi na upepo huyu mama tungoje nyomi ya jumapili mpaka madirishani
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Feb 18, 2023 #10 tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I π you Zumaridi Click to expand... Zumaridi ni zombie Your browser is not able to display this video. Anayejiita mungu Zumaridi akiingia kanisani ki zombie
tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I π you Zumaridi Click to expand... Zumaridi ni zombie Your browser is not able to display this video. Anayejiita mungu Zumaridi akiingia kanisani ki zombie
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Feb 18, 2023 #11 Evelyn Salt said: Umeanza kumpenda leo? Click to expand... Amegundua ana ugaga kwenye papuchi kwa kukaa jela mwaka mzima
Evelyn Salt said: Umeanza kumpenda leo? Click to expand... Amegundua ana ugaga kwenye papuchi kwa kukaa jela mwaka mzima
Mfalme26 Senior Member Joined Feb 23, 2021 Posts 128 Reaction score 221 Feb 18, 2023 #12 Kweli kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake.
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Feb 18, 2023 #13 tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I π you Zumaridi Click to expand... Zumaridi anapenda sana waume za watu yani kama we ni mume wa mtu basi umempata
tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I π you Zumaridi Click to expand... Zumaridi anapenda sana waume za watu yani kama we ni mume wa mtu basi umempata
Musundi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 1,584 Reaction score 2,613 Feb 18, 2023 #14 tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I you Zumaridi Click to expand... We unatafuta laana eeh? Ulisikia wapi mungu akiolewa!! Hahahaha......
tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I you Zumaridi Click to expand... We unatafuta laana eeh? Ulisikia wapi mungu akiolewa!! Hahahaha......
L Lotus 123 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2021 Posts 3,151 Reaction score 5,534 Feb 18, 2023 Thread starter #15 Lovelovie said: Zumaridi anapenda sana waume za watu yani kama we ni mume wa mtu basi umempata Click to expand... Sema kweli
Lovelovie said: Zumaridi anapenda sana waume za watu yani kama we ni mume wa mtu basi umempata Click to expand... Sema kweli
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,284 Reaction score 28,441 Feb 18, 2023 #16 tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I π you Zumaridi Click to expand... Mbona nimemuwahi mimi na akanikatia viuno nikampa dole, naye akafoli malavu.
tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I π you Zumaridi Click to expand... Mbona nimemuwahi mimi na akanikatia viuno nikampa dole, naye akafoli malavu.
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Feb 18, 2023 #17 tandabui2021 said: Sema kweli Click to expand... Kweli kabisa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,302 Feb 18, 2023 #18 Nice ila utakua malkia
Kibwengo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 6,825 Reaction score 5,296 Feb 18, 2023 #19 Njo pm na hela nikupe connection
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,285 Reaction score 23,584 Feb 18, 2023 #20 tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I π you Zumaridi Click to expand... Angalia vizuri umetekwa kiaina sio wa kawaida yule.
tandabui2021 said: Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I π you Zumaridi Click to expand... Angalia vizuri umetekwa kiaina sio wa kawaida yule.