Wadau nimeingia kamili jamvini bila unafiki

Jan 1, 2012
21
3
Ni miaka 3 sasa kila siku ya Mungu huingia humu jamvini na kusoma mawazo yenu wadau.leo nimeamua nijisajili rasmi tena kwa jina langu kamili.ili nitakapo changia wananifahamu wapate ithibati ya kunikosoa.karibu
 
We kiboko, yaani kwa miaka mitatu unachungulia kupitia dirishani tu! Karibu sana
 
kweli mkuu wee kiboko, dah! mimi siku hiyo natambulishwa JF nkajiunga na kuwa teja, basi kuna majukwaa humu mkuu, km wee mgeni mna jukwaa lenu la wageni, au kwa miaka 3 yote hiyo ulikuwa ukiingia jukwaa la siasa tu?
kuna jukwaa la utambulisho.
 
karibu jamvin ELINIKYO,najua kwa miaka 3 umejua kambi zilizopo hapa, tafadhali usiwe na upande, kama utakua na upande declear interest yako. Karibu tena Saashisha
 
Back
Top Bottom