MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
!
!
Kimsingi ulishadisco kabla hata hujajiunga na chuo hicho. Uwezo wako mdogo. Kajiunge na VETA
nimecheka sana na hii comment uko sahihi
!
!
Kimsingi ulishadisco kabla hata hujajiunga na chuo hicho. Uwezo wako mdogo. Kajiunge na VETA
narudi mkuu kuna vitu vilini keep busy kidogo.... this time nakuja na makala za kusisimua ili kuweza kuendesha gurudumu letu la mifugo nchini...acha uongo. Mtaalamu wetu wa mifugo uzi wako umeutelekeza, you have abandoned it completely! hakuna majibu ya maswali yetu. Rudi Dr.
Ubarikiwe sana. Ngombe wangu alisimama kama ulivyonishauri. Downers syndrome.. alipona na sasa yuko fit. Nimekuomba nimpe lishe gani maana alilala for two weeks , amekonda nimpe lishe gani arudishe afya na nichukue tahadhali gani isijirudie tena.narudi mkuu kuna vitu vilini keep busy kidogo.... this time nakuja na makala za kusisimua ili kuweza kuendesha gurudumu letu la mifugo nchini...
kuna feed formulation nitakupatia baadae kidogo pm mkuu.... u wait niko safarini and network inakuwa inakuja na kupotea nikifika nitakucheki mkuuUbarikiwe sana. Ngombe wangu alisimama kama ulivyonishauri. Downers syndrome.. alipona na sasa yuko fit. Nimekuomba nimpe lishe gani maana alilala for two weeks , amekonda nimpe lishe gani arudishe afya na nichukue tahadhali gani isijirudie tena.
mh beefAskari Muoga nadhan kuna siku niliwah kukuuliza kitu humu wewe kumbe ni mwanachuo? hahaha mbona wamekukawiza sana sana wewe !mie nahis pombe imekufanya udisco au bangi !mara nying comments zako huwa zinaleta walakini mnooo ! na andika yako hukutakiwa kwenda chuo aiseee labda urudie form 2 !am sorry to say this
chuo gani sasaWiki ya mwisho us September hii ndiyo unamfahamu kuwa uli disco? Apply chuo kingine kwa marks zako za A-level. Unge apply mapema through clearance ungekuwa inaanza mwaka wa kwanza sasa hivi.
KwakwelKwa uandishi huo lazima udisco. Bashite wewe. Hata kuandika mada vizuri hujui?!?. Ulifikaje Chuo?
Mimi sijui ulisoma combi gani A-leve lakini kweli kama hujui chuo cha kuapply basi kuna vtatizo kidogo.chuo gani sasa
nn umeonaNimeingia kwenye profile yako mleta uzi, nimepitia threads zako mbalimbali!!!!!
ASANTE SANAkuna feed formulation nitakupatia baadae kidogo pm mkuu.... u wait niko safarini and network inakuwa inakuja na kupotea nikifika nitakucheki mkuu
angalia ulivyo..umedisco elimu ya darasani na unataka tena kudisco elimu ya mtaani...mwanga ww