Ercy's
Member
- Mar 19, 2015
- 88
- 24
HahaaahaTunashukuru kwa taarifa Bwana Askari muoga.
HahaaahaTunashukuru kwa taarifa Bwana Askari muoga.
Hongera sana kijanaOyiii wadau nime disco Chuo ivyo siwezi kuendelea mwaka wa pili,pia utaratibu wa chuo si ruhusiwi kurudia mwaka

!
!
Kimsingi ulishadisco kabla hata hujajiunga na chuo hicho. Uwezo wako mdogo. Kajiunge na VETA
Oyiii wadau nime disco Chuo ivyo siwezi kuendelea mwaka wa pili,pia utaratibu wa chuo si ruhusiwi kurudia mwaka
padri Muogope Mungu yaisheWewe Askari Muoga ni muongo na mnafiki...
Mwezi wa nne niliweka bandiko humu tangazo la kazi ya IP/Networking kwa Graduates wa IT, Computer na Telecom.
Wewe ulikua mmoja wa applicants na CV yako ninayo. Ama niiweke hapa...
Kama haitoshi, kwenye post za watu wa IT za TPA mwezi wa Saba pia tulikutana pale DUCE kwenye Mchujo...
Fala wewe.. Una enjoy watu tu...
Kwa uandishi huo lazima udisco. Bashite wewe. Hata kuandika mada vizuri hujui?!?. Ulifikaje Chuo?


Duuh mkuu nenda nae pole pole Jamaa ako na stress za Ku disco......Kwa uandishi huo lazima udisco. Bashite wewe. Hata kuandika mada vizuri hujui?!?. Ulifikaje Chuo?
Kweri wewe ni askari muogaWadau nimedisco chuo hivyo siwezi kuendelea mwaka wa pili, pia utaratibu wa chuo siruhusiwi kurudia mwaka.