Silas Samuel
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 873
- 628
Nimesoma comments zako za nyuma kuhusu Mungu.Bado nasoma comments zenu kabla sijaenda kuzimu.
Kwenye msiba wake uwe kwenye kamati, upange bajeti ya vinywaji kubwa kuliko chakula.....ili usiku tukeshe tukinywa ๐๐Nimesoma comments zako za nyuma kuhusu Mungu.
Bro. JIUE TU.
Jiue ru kiazi wewWadau naona huyo Mungu wenu ameshindwa kunikill.
Sasa Mimi nataka nijiue mnaonaje?
FREE WILL YA WEWE KUAMUA UMNYENYEKE AU USIMNYENYEKEE HIVI UNAZANIA WEWE MMOJA UNAMPUNGUZIA NINI?? MAANA WAPO MAELFU WANAOKOKA MUDA HUU SASA HVI!!! UKIFA WANAZALIWA WENGINE TUMIA MUDA WAKO KWA BUSARA AU USITUMIE KWA BUSARA NI JUU YAKO MEKU UNGEKUWA KARIBU NINGENUNUA SUMU YA PANYA NIKUANGALIE KAMA HIO MIKONO YAKO ITADHUBUTUHuyo Mungu haieleweki sasa, mara tuna free will, mara yeye ndiye apanganye kila kitu,(dilemma).
Ntahakikisha kwanza wachimba kaburi wana Mizinga ya Konyag ya kutosha.Kwenye msiba wake uwe kwenye kamati, upange bajeti ya vinywaji kubwa kuliko chakula.....ili usiku tukeshe tukinywa ๐๐
Na risala aisome Dennis Robert ShughuruNtahakikisha kwanza wachimba kaburi wana Mizinga ya Konyag ya kutosha.
Budget ya vinywaj itakuwa kubwa kabisa๐๐๐, chakula kila mtu atakula kwao.
On a very serious note, natamani niwasiliane na wewe, tusali pamoja kwa muda wa siku 12 Novena takatifu ya Mtakatifu Rita, uone mambo mapya na Ukuu wa Mungu katika maisha yako....Unajua changamoto kweli wewe??!!.
Pamoja na Ulevi wangu nina amini Mungu yuko na ninasali...On a very serious note, natamani niwasiliane na wewe, tusali pamoja kwa muda wa siku 12 Novena takatifu ya Mtakatifu Rita, uone mambo mapya na Ukuu wa Mungu katika maisha yako....
Badili basi mindset tusali. Kama hautajali
Kama upo Dar njoo Kigamboni nina jambo zito na weweBado nasoma comments zenu kabla sijaenda kuzimu.
Condom ingetumika tusingekua na huu uzi wa kipuuzi apa leoWadau naona huyo Mungu wenu ameshindwa kunikill.
Sasa Mimi nataka nijiue mnaonaje?
Mimi pia, ni Muislamu.....lakini napenda na nasali hii Novena na huwa nauona kabisa ukuu wa Mungu kupitia novena hii.Pamoja na Ulevi wangu nina amini Mungu yuko na nina sali...
Na mimi nataka unifundishe hiyo sala, mshawishi tuwe watatu ๐๐On a very serious note, natamani niwasiliane na wewe, tusali pamoja kwa muda wa siku 12 Novena takatifu ya Mtakatifu Rita, uone mambo mapya na Ukuu wa Mungu katika maisha yako....
Badili basi mindset tusali. Kama hautajali
Amini kabisa katika siku 12 za kuomba, ukianza tu siku tatu za mwanzo utaanza kuona majibu.....kuna mdada nimemfundisha yani ndani ya mwezi tu kaishafunga mara mbili spidi yake imenizidiNa mimi nataka unifundishe hiyo sala, mshawishi tuwe watatu ๐๐
Naona unataka kabisa mtu mwingne ajitokeze aseme anataka kujiua ili muwe wanne๐๐๐๐Na mimi nataka unifundishe hiyo sala, mshawishi tuwe watatu ๐๐
Nakucheki ๐ฅumefurahi kunipa block ๐ขnipo nalia apa