Wadau natafuta ukumbi wa harusi mapema decemba 2013

Robert Marco

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
47
Reaction score
30
Naombeni mawazo na ushauri wenu Wana JF:-
Natarajia kuwa na harusi mapema wiki ya kwanza ya Desemba 2013. Plan yangu ni kuwa na shughuli ya watu kati ya 100 na 120 na nina bajeti ya 5M. Nimejaribu kubana baadhi ya vitu lakini ukumbi imekuwa changamoto, naomben mawazo yenu, ikishindikana kupatikana jmosi nipo tayari kufanya Ijumaa au Jpili
 
Mkuu kila la kheri katika hiyo shughuli
 
Naombeni mawazo na ushauri wenu Wana JF:-
Natarajia kuwa na harusi mapema wiki ya kwanza ya Desemba 2013. Plan yangu ni kuwa na shughuli ya watu kati ya 100 na 120 na nina bajeti ya 5M. Nimejaribu kubana baadhi ya vitu lakini ukumbi imekuwa changamoto, naomben mawazo yenu, ikishindikana kupatikana jmosi nipo tayari kufanya Ijumaa au Jpili

Bwana Harusi, hujasema uko mji gani, wadau hawajui wakusaidieje.
 
Mungu akusaidie, ila ungeweka range ukumbi wa kuanzia sh ngapi tukupe idea. Halafu siku hizi kumbi nyingi wanataka utumie chakula au vinywaji vyao. Au umemaanisha 5ml iko kwajili ya ukumbi na chakula na vinywaji au?
 
ukumbi watu wanakodi miez mitatu kabla...lakini endelea kupambana.
 
Back
Top Bottom