Wadau naombeni mnijuze kuhusu hili kama la kweli

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,194
Habari ya asubuhi wadau.

Kuna dogo mmoja kahitimu kidato cha nne 2019. Alifaulu ana Div 3.24. kanitumia ujumbe mfupi akisema kwamba baba ake katumiwa umeseji kwamba mtoto wake kachaguliwa chuo cha ualimu. Sasa juzi kati hapa nimeona Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe Selemani Jafo (MB) akisema wahitimu wote wa kidato cha nne 2019 wanapewa nafasi kubadili tahasusi na kozi walizochagua kutokana na ufaulu wao na kusema kwamba baada ya deadline watapangiwa vyuo na shule kutokana na kozi au tahasusi walizochagua.

Fungua link hii kumsikiliza




Sasa wadau hizi taarifa za kuhusu madogo kuchaguliwa vyuo vya ualimu ni sahihi?.

Naombeni mnijuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom