Sidhani kama kuna kampuni itakayokubali hayo matakwa yako kwamba ikujengee halafu baadae uwapangishe.
Cha kufanya Ingia Mkataba na Kampuni inunue hilo eneo na pia mkubaliane hio kampuni ijenge kama ni Ghorofa kwa mfano ktk hiko kiwanja ,then mkubaliane wakuachie Floor Moja katika hilo ghorofa kwa ajili ya kufanya issue zako. kama ni kuishi au biashara etc, utaamua mwenyewe