Wadau nahitaji msaada wa Ajira au Internship nina degree ya Procurement and supplies na pia nineshafanya mitihani ya bodi(PSPTB) Profesional level 4 & 5 bado research ndo nahangaikia kukusanya fungu ili niilipie na niifanye na hiyo,kama kuna mdau anafaham wapi naweza nikajishikiza au nkapata ajira basi tusaidiane kwa hilo.
Natanguliza shukurani.
Natanguliza shukurani.