Wadau mnaishije na ndugu?

Ni changamoto aseeh Ila mwenye maamuzi ni jamaa maake mambo ya ndg bhn, afu kwenye huo mtego alionasa atumie akili la sivyo atatumika vibaya mno
 
Sasa unapitiaje wakati mgumu? Wakati mgumu si ulipitia ulipokuwa unajitafuta!?
 
Huyo bro wenu mlimuendekeza
 
Big up! Nakupongeza sana kwa jinsi ulivyopambana!
Pili nikupongeze kwa kuwa na mke ambaye ni Wife material.
Nikuombe jambo mmoja usimsaliti mkeo wala kumuacha! Siku ukimwacha yatakayokuta utakuja kusimulia hapa.
 
Ni changamoto aseeh Ila mwenye maamuzi ni jamaa maake mambo ya ndg bhn, afu kwenye huo mtego alionasa atumie akili la sivyo atatumika vibaya mno
Nimekumbuka kwenye kazi zangu ya kwanza kwanza nilikua nikipokea mshahara brother ananipa invoice nimuazime 3/4 ya mshahara then atanirudishia..

By then brother alikua anajua Mimi still young na sina matumizi ya pesa nilimpa miezi miwili baadae mkataa 😊😊😃
Ni watu wamekua wanatuona wametubeba wametusaidia Sanaa Ila sio kwamba tunaendelea kua wadogo siku zoteee..
 
Hongera yote ni maisha na mapito katika familia maskini kama ss lazima upite vikwazo fulani na uvushinde...
GOOD LUCK
 
Mkopo huwa analipa tuseme kama vile rejesho kila mwezi kufidishia kile unakatwa benki kwenye mshahara ama ni msaada tu mnafanyia harejeshi?
 
Pole sana mkuu, usijaribu tena kuchukua mkopo kwaajili ya huyo kaka yako mkubwa
 
Fanya mambo Yako msaidie panapo wezekana sio mkopo huo wema hauwez lipwa mwisho watu wanakuona unazo sana
Mamboyako yanasimama achana na hizo habari utakuwa unamkopea had unastaafu kumbuka bank wanakuwa na riba

Nimetamni niongee Kwa voice note 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…