Wadau, kwanini hizi smart TV zinauzwa bei ghali hivi?

Jayfee

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
310
1,040
Kwa mfano io Samsung smart tv Neo Qled 8k bei yake inch 65 ni Tsh 11500000...
Kwa wale wataalamu wa ma smart tv kwann hii bei iko juu sana?
IMG_20210325_192758.jpg
IMG_20210325_192838.jpg
 
Bei lazima iwe juu kwa sababu hata yenyewe imeundwa kwa teknolojia za juu mkuu 🤔
 
Aah...hii TV mbona bei rahisi hivyo hiyo ni bei ya tanzania kweli? Asee kama kuna mahali umeipata kwa hiyo bei irudie fasta.....kuna jamaa angu amenunua sumsung 43inch smart 4K laki 9.5, sasa hiyo 63inch kwa hiyo bei afu ni 8K sijawai hata kuiona hiyo 8K yaani ni mara mwili ya 4k unaogopa nini kununua?

Kwa bei ya TV kwa saivi hiyo ni bei rahisi sana sana
 
Mkuu io bei ni millio 11.5
 
Kwa mfano io Samsung smart tv Neo Qled 8k bei yake inch 65 ni Tsh 11500000...
Kwa wale wataalamu wa ma smart tv kwann hii bei iko juu sana?View attachment 1734370View attachment 1734371
Mkuu sio smart TV Bali ni panel husika.

Keyword hapo ni Qled na zipo nyengine za Oled hivi ni vioo vya bei mbaya kwa TV, compare na Led ya kawaida ambayo hupati kana kila TV.

Hapo bado kuna TV za mini Led zikifuatiwa na Micro Led Tegemea bei kuwa juu zaidi. Kwa kila inch micro led ni around $1000, hivyo kwa inch 65 ni around 65,000 ambayo ni around 150,000,000 kibongo bongo.
 
Mmh
 
Teknolojia iko kasi sana aisee
Mil 11 hii unaweka ndani wakipita nayo wale jamaa wa kukata flat bar/nondo za kwenye madirisha yaan lazima uchanganyike

At least kwa hiyo ya mil 165 kwa uwezo huo lazima nyumba ina mlinzi mmasai, mbwa na Gardaworld mwenye silaha hahahhaa
 
Kikawaida mkuu ikitoka tech mpya za zamani zinashuka bei, hivyo micro led zikianza kuwa maarufu pengine TV za oled na Qled zitakua na Bei nafuu zaidi.
 
@Chief-Mkwawa Naomba nifanyie utafiti natafuta TV ya kisasa angalau. ya 55 inch napendelea sana LG sababu ya magic remote bei yangu ni around 2.5m
 
Agiza tv ya xiaomi apo mjini nairobi na chenji ibaki nayo tena kali tu nenda mwenyewe kama vipi ni siku moja utakula utanunua na kurud na chenji itabaki ,elfu kumi utatuma mwenyewe ya shukran baada ya kumkamata huyo mnyama
@Chief-Mkwawa Naomba nifanyie utafiti natafuta TV ya kisasa angalau. ya 55 inch napendelea sana LG sababu ya magic remote bei yangu ni around 2.5m
 
@Chief-Mkwawa Naomba nifanyie utafiti natafuta TV ya kisasa angalau. ya 55 inch napendelea sana LG sababu ya magic remote bei yangu ni around 2.5m
hii budget mkuu unaweza kupata TV za oled, naziona Mtandaoni zoom na kupatana around 2.9m hopefully madukani itakuwa rahisi kidogo.
 
Aah...hii TV mbona bei rahisi hivyo hiyo ni bei ya tanzania kweli? Asee kama kuna mahali umeipata kwa hiyo bei irudie fasta.....kuna jamaa angu amenunua sumsung 43inch smart 4K laki 9.5, sasa hiyo 63inch kwa hiyo bei afu ni 8K sijawai hata kuiona hiyo 8K yaani ni mara mwili ya 4k unaogopa nini kununua?

Kwa bei ya TV kwa saivi hiyo ni bei rahisi sana sana
Cjui kama unaelewa 8k ni technology cyo bei
 
Back
Top Bottom