Wadau kwa Milioni 17 naweza kujenga apartment 4?

Unajenga ndugu zote nne ila utaishia kupaua sana sana na kweka grill baasi.....kwangu mm onawwzekana nitafute
 
wewe ni mdesaji wa michoro tu. jaribu kujenga hizi nne kwa milioni 17 hata kama una kiwanja. Ndipo utapevuka akili na utaelewa yale wazoefu wa ujenzi tunakwambia.
Wenzako hizi huwa tunaziita Police posts.
Unawajengea walinzi wa mashamba, badala ya banda la "L", unajenga hii na milioni 4 na ushee kidogo tu inatosha.
 
Hizo nyumba unazoziona za oysterbay hazikuwa na grill, hata hizo hizo za mjini.

Kwenye ujenzi kuna kitu kinaitwa muda hiki huamua style na materials yanayotumika. Kwa enzi zake hizo za osterbay zilitumia vifaa vilivokuwa bora na gharama kwa wakati huo, grills, tiles nk zingekuwapo kipindi hicho wangetumia..Na ndio sababu kwa sasa wengi wanazibadirisha kuendana na fashion iliyopo sasa..
Back to your point wewe kwa nyakati hizi unataka kuleta hesabu za ujenzi sio wa gharama nafuu bali ujenzi mbovu usiozingatia ubora na viwango...na ndio nasema kama ni suala la ujenzi usiozingatia ubora hata 20 utajenga...ndio sababu dizaini moja ya nyumba mtu X anaweza tumia 150m na mtu Y akatumia 50m ishu iko kwenye ubora. Kuna sehemu unaongelea tofali tsh 1000 hadi saiti sawa je ni tofali ya ratio gani simenti kwa mchanga? Nyie ndo nyumba mvua moja tu kitu chini ama cracks kibao kabla ya hata hujahamia. Tofali inaguswa inapukutika kama vumbi
 
Tukiacha blah blah ulizoongelea kabla ya point ya tofali ....
Tofali hizo ni 1:8 na ni zimefyatuliwa kiwandani. Na ratio ya mchanga na cement haiathiri sana ubora wa tofali na naweza kukuonyesha research iliyobaini hilo jambo. Mimi siongei mambo kiswahili, nakupa vitu vinavyoeleweka. Hakuna haja ya kununua tofali kwa 1500, zipo tofali za 1000 na ni bora. You can test them, wala siyo kazi kuzitest.

Nyumba kuwa na Grills au tiles kwenye floors ndiyo inaongeza ubora? Kivipi?
Mbona Europe au USA hakuna tiles wala grills? .. Nyumba zenye grills USA ni zile za Ghetto kabisa, it's weird fundi kama wewe unavyodai, kuongea pumba kama hizo.
 
Kwanza mimi sio fundi sina taaluma ya ufundi wala uhandisi..nimeongelea from experience. Grills uwapo ama kutokuwapo kwake yategemea na kiwango cha security uliyonayo..nyumba isiyokupa minimal protection si bora ulale nje sasa..kwa hoja zako zilivyo suala la tiles siwezi gusia kabisa...siko kubishana ushasema 4artps kwa 17m yawezekana na nyumba ikawa bora sina haja ya kukubishia. Ila kwa stds zangu hata hiyo moja tu studio unayosema haitoshi
 
Kwa standards zako, lakini siyo kwa standards za serikali au building codes zinazokubalika eg. India , EU etc.... inawezekana.
Na building codes hazilazimishi tiles au grills.
Tatizo siyo nini unachohitaji wewe bali standard codes ndiyo muhimu kwanza. Ukishafikia minimum requirements, halafu ndiyo unaanza urembo.
Sasa wewe kama siyo fundi kwanini umemwambia mleta mada unaweza kumjengea mpaka grills??
Please mayn!
 
Ni kwa kuwa haiwezekani tu..ila ningekuwa na uwezo wa kuona BOQ yako ungeumbuka mchana kweupe..
 
Wadau naomben ushaur kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?

Msaada tafadhali
kama uko sehemu nzuri jenga ukumbi wa sherehe kwa hiyo hiyo pesa utakuja kunishukuru baadae ila hakikisha uko sehemu nzuri na jenga wa kuutia
 
Nimejenga chumba pekee yake .. Kiwanja ninacho , au kwenye eneo langu la shamba ..... nimetumia angalau sh. 1,800,000

Bado sijajenga choo. Tayari nimeweka dirisha moja la chuma na mlango wa bati.. Ili angalau mtu akae shamba... Navyoona kwa apartment za bei nafuu at least sh. 6,000,000 mpaka 7,000,000
 
Kwanza mimi sio fundi sina taaluma ya ufundi wala uhandisi..nimeongelea from experience. Grills uwapo ama kutokuwapo kwake yategemea na kiwango cha security uliyonayo..nyumba isiyokupa minimal protection si bora ulale nje sasa..kwa hoja zako zilivyo suala la tiles siwezi gusia kabisa...siko kubishana ushasema 4artps kwa 17m yawezekana na nyumba ikawa bora sina haja ya kukubishia. Ila kwa stds zangu hata hiyo moja tu studio unayosema haitoshi
Mbona una ufahamu wa kutosha katika ujenzi lakini unajifunga na sehemu ndogo tu. Jitahidi ku identify kila unit utaona ghalama halisi ya ujenzi. Fahamu kuwa nyumba ya biashara haihitaji kuwa na vyumba vikubwa sana bedroom only 3.5m/3m hata kwa sebule 3.5m/5m ni kubwa sana. Sasa chumba kimoja cha hivyo chenye milango na madirisha hakizidi 400 blocks, ikiwa under one roof kuna kuta vita share ndiyo maana haziwezi zidi block 1000. Sasa wastani wa bei ni 1000shs kwa block mpaka site. Hizo block huwa hazipishani sana, kuna wengine wanakwambia ikivunjika nabadirisha. Angalia material nyingine. Mimi ni moja ya watu nisie weka grill mlangoni, kwakuwa haiku full protection kwa maana inategemea kufuri tu, wezi wanavunja sekunde. Ila grill madirishani sawa, Dirisha la 150 kwa 170 grill ni 130,000 mpaka 160,000. Aluminium 220,000. Ikiwa mlango na frame ya mkongo/mninga 240m by 90 ni laki 550. Pia block 60/80 zinajengwa kwa cement moja. Hizo tiles na roofing ni rahisi sana, maana kwa nyumba ya hivyo ni karibu 30m square. Ninakuhakikishia maximum ni 5m kwa apartment moja yenye chumba kimoja self, sebule na open kitchen. Inahitajika usimamizi bora. Ndiyo maana naungana na wazo kuwa ajenge moja kwanza pamoja na kuwa atagharimika kutokana na kukosa advantage of economies of scale. Kwa maana kuwa akiagiza mchanga wa gari kubwa ni nafuu zaidi kuliko canter.
 
Mbona una ufahamu wa kutosha lakini unajifunga na sehemu ndogo tu. Jitahidi ku identify kila unit utaona ghalama halisi ya ujenzi. Fahamu kuwa nyumba ya biashara haihitaji kuwa na vyumba vikubwa sana bedroom only 3.5m/3m hata kwa sebule 3.5m/5m ni kubwa sana. Sasa chumba kimoja cha hivyo chenye milango na madirisha hakizidi 400 blocks, ikiwa under one roof kuna kuta vita share ndiyo maana haziwezi zidi block 1000. Sasa wastani wa bei ni 1000shs kwa block mpaka site. Hizo block huwa hazipishani sana, kuna wengine wanakwambia ikivunjika nabadirisha. Angalia material nyingine. Mimi ni moja ya watu nisie weka grill mlangoni. Madirishani sawa, Dirisha la 150 kwa 170 grill ni 130,000 mpaka 160,000. Aluminium 220,000. Ikiwa mlango na frame ya mkongo/mninga 240m by 90 ni laki 550. Pia block 60/80 zinajengwa kwa cement moja. Hizo tiles na roofing ni rahisi sana, maana kwa nyumba ya hivyo ni karibu 30m square. Ninakuhakikishia maximum ni 5m kwa apartment moja yenye chumba kimoja self, sebule na open kitchen. Inahitajika usimamizi bora. Ndiyo maana naungana na wazo kuwa avjenge moja kwanza pamoja na kuwa atagharimika kutokana na kukosa advantage of economies of scale. Kwa maana kuwa akiagiza mchanga wa gari kubwa ni nafuu zaidi kuliko canter.
Maelezo haya yamenifungua akili zaidi...na hasa hapo mwisho ufafanuzi wa ukubwa wa units kwenye vipimo vya 30 sqm na breakdown yake ya gharama...nimejifunza pakubwa..
 
Inategemeana na finishing na standard unayotaka. Ukishajua standard unayotaka basi kaa chini piga hesabu za gharama kulingana na michoro yako. Hapo utapata jibu kama inatosha au haitoshi
 
Kwenye huu mchoro,hizo ni futi au meta?
Ukiwa no metres kwa mchoro huo pekee utagharimu zaidi ya tofali 1400,kwa hesabu Kila mita moja inajengwa na tofali mbili,nyumba in mzingo was mita za mraba 65*2=130 tofali kwa kozi moja,msingi kukiwa na eneo tambarare ni kozi 4*130=520 tofali,kwenye boma ni kozi 10*100=1000 tofali baada ya happy ni lenter halafu ndo uamue kama no kuezeka kawaida ni kwamba utaongeza kozi tatu hivyo unachukua 130×3= 390 tofali na ukiachagua kujenga contemporary ni kwamba utajenga kozi tano mpaka sita ikiwa ni kozi tano utachukua 130×5=650
Kwa mchanganuo huo ndo pale walioandika kabla yangu walikadiria kwa ujenzi huo ni tofali 1600 nami naongeza ni zaidi ya hizo 1600

Huo mchoro no was studio apartment na mleta mada hakusema kuwa ni studio hivyo unakinzana nae

Kwa kufupisha tu in kwamba kwa kiwango kile haiwezekani kujenga apartment 4 kwa 17mills
Mita 4.5 kwa mita 4.5
Na ndani ni jumla ya mita 6 .
Jumla ni mita 24.

Ukiziunganisha unapata 82.5m
Kuipata idadi ya tofali kwa kozi Moja
82.5m ÷ 0.45m = 184

Utasimamisha bima kwa kozi 19.
184 x 19 = 3496 blocks.

Madirisha 8 yanaondoa matofali
12x8= 96.
Madirisha madogo ya chooni yanaondoa matofali 3x4 = 12

Milango 4 inaondoa matofali 20x4
= 80.
Jumla ni

3496 - (96+12+80) = 3308.

Kusave mabati nitafanya muundo wa Gable roof kwahiyo nitaongeza matofali ili yawe 3500 kwa boma lote na mifuko 60 ya saruji.
Jumla milioni 4.5.
 
Back
Top Bottom