Uzalendo Installer
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 5,306
- 8,735
HAIWEZEKANI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mita 4.5 kwa mita 4.5
Na ndani ni jumla ya mita 6 .
Jumla ni mita 24.
Ukiziunganisha unapata 82.5m
Kuipata idadi ya tofali kwa kozi Moja
82.5m ÷ 0.45m = 184
Utasimamisha bima kwa kozi 19.
184 x 19 = 3496 blocks.
Madirisha 8 yanaondoa matofali
12x8= 96.
Madirisha madogo ya chooni yanaondoa matofali 3x4 = 12
Milango 4 inaondoa matofali 20x4
= 80.
Jumla ni
3496 - (96+12+80) = 3308.
Kusave mabati nitafanya muundo wa Gable roof kwahiyo nitaongeza matofali ili yawe 3500 kwa boma lote na mifuko 60 ya saruji.
Jumla milioni 4.5.
Nyumba 1 mara 4 Kuna Kuta 16 na nyumba 4 in 1 Kuna Kuta 13.Hii hesabu yako bado haijatoa jibu bado cha kufanya hapo weka hesabu complete za apartment moja alafu tutazidisha mara nne tuone inakuja ngapi.
Kwa hizi hesabu zako naona kuna vitu umesahau ;
~Ukisema 82.4 / 0.45= blocks184 ukumbuke kuna vertical joints kwa hiyo tofali zitapungua kidogo.
~Hizo kozi 19 ni nyingi sana.
Sakafuni hadi kitako cha dirisha =coz 4
Kitako cha dirisha hadi top ya dirisha = coz6
Baada ya lenta hadi kwenye paa =coz 3
Msingi kama ni tofali =coz 4 (maximu)
Jumla ni coz 17 (hizo coz 2 umeongeza za nini?)
~Kwanini Milango umehesabu milango 4 kwa apartment zote 4 wakati ndani kuna openings zingine zitakazopunguza nafasi ya tofali?
-Opening/mlango wa jikoni= blocks.....
-Opening/mlango wa chooi =blocks....
~kwa case ya madirisha ungefanya at least matatu badala ya mawili kwa kila apartment(chumbani,sebuleni na jikoni)
Sasa endelea ku Quantify nyumba moja alafu tuone garama yake
A. Hivi mnazungumza eneo au mzingo? Ukweli tunapaswa kuangalia mzingo ili kujua idadi ya blocks, mzingo una (elevations) kuta za ndani na za nje zinazo zunguka nyumba. Ambazo una marefu na mapana.Mita 4.5 kwa mita 4.5
Na ndani ni jumla ya mita 6 .
Jumla ni mita 24.
Ukiziunganisha unapata 82.5m
Kuipata idadi ya tofali kwa kozi Moja
82.5m ÷ 0.45m = 184
Utasimamisha bima kwa kozi 19.
184 x 19 = 3496 blocks.
Madirisha 8 yanaondoa matofali
12x8= 96.
Madirisha madogo ya chooni yanaondoa matofali 3x4 = 12
Milango 4 inaondoa matofali 20x4
= 80.
Jumla ni
3496 - (96+12+80) = 3308.
Kusave mabati nitafanya muundo wa Gable roof kwahiyo nitaongeza matofali ili yawe 3500 kwa boma lote na mifuko 60 ya saruji.
Jumla milioni 4.5.
Ramani yangu ina 4.5m x4.5m na partitions za ndani jumla 6m.A. Hivi mnazungumza eneo au mzingo? Ukweli tunapaswa kuangalia mzingo ili kujua idadi ya blocks, mzingo una (elevations) kuta za ndani na za nje zinazo zunguka nyumba. Ambazo una marefu na mapana.
B. Marefu ni 10m*2m= 20m
Marefu kwa vyumba yenye chumba, sebule na jiko 3.5.m+4.5m+2m respectively.
C. Mapana ni 3.5m+3.5m+2m+1.5m=10.5m
Mapana yana kuta kulia, kushoto, kati na mkato wa bafu na jiko respectively.
D. Sasa mzingo wake ni 20m+10.5m=30.5m.
Hesabu yake ipo hivi
30.5m÷0.45=68
E. Pia urefu wa kuta una wastani wa kutumia block 19 kama ulivyo onyesha msingi 5 kuta 11 baada ya rinta 3
68*19=1292
F. Hapo hakuna dirisha wala Milango ambayo umeweka 200 blocks, na open kitchen.
1200-300=1000
G. Note
Chumba 3.5m/3.5m
Sebule 4.5m/3.5m
Jiko 2m/2m
Bafu 1.5m/2m
Anayekataa, akatae kwa data hizo.A B,.....G
Naungana na wewe, tatizo siyo 19, tatizo ni 82. Kupata mzunguko wa kuta wa mita 82 kwenye nyumba yenye chumba, sebule na jiko ni maajabu. Kwa maana chumba chenye 4m/4m kina 16m vikiwa viwili ni 32m. Kumbuka kuna ukuta vina share.Hii hesabu yako bado haijatoa jibu bado cha kufanya hapo weka hesabu complete za apartment moja alafu tutazidisha mara nne tuone inakuja ngapi.
Kwa hizi hesabu zako naona kuna vitu umesahau ;
~Ukisema 82.4 / 0.45= blocks184 ukumbuke kuna vertical joints kwa hiyo tofali zitapungua kidogo.
~Hizo kozi 19 ni nyingi sana.
Sakafuni hadi kitako cha dirisha =coz 4
Kitako cha dirisha hadi top ya dirisha = coz6
Baada ya lenta hadi kwenye paa =coz 3
Msingi kama ni tofali =coz 4 (maximu)
Jumla ni coz 17 (hizo coz 2 umeongeza za nini?)
~Kwanini Milango umehesabu milango 4 kwa apartment zote 4 wakati ndani kuna openings zingine zitakazopunguza nafasi ya tofali?
-Opening/mlango wa jikoni= blocks.....
-Opening/mlango wa chooi =blocks....
~kwa case ya madirisha ungefanya at least matatu badala ya mawili kwa kila apartment(chumbani,sebuleni na jikoni)
Sasa endelea ku Quantify nyumba moja alafu tuone garama yake
Naomba hesabu nijipime ili kufika March niamie kwangu, kiwanja kipoView attachment 1795852
Ukiwa tayari nakupa mahesabu....
Yangu ni mahesabu ya apartments zote 4 zikiunganishwa.Naungana na wewe, tatizo siyo 19, tatizo ni 82. Kupata mzunguko wa kuta wa mita 82 kwenye nyumba yenye chumba, sebule na jiko ni maajabu. Kwa maana chumba chenye 4m/4m kina 16m vikiwa viwili ni 32m. Kumbuka kuna ukuta vina share.
Tatizo ni exaggerations. Choo na bafu ni mikato midogo sana. Hata hizo 19 za kwenda juu unakubaliana naye, pamoja na kuwa ni 17 bado hazita fika huko anakosema.
Kwa contemporary design baada ya lenter zinakwenda kozi zaidi ya tano ili kupata slopeNaungana na wewe, tatizo siyo 19, tatizo ni 82. Kupata mzunguko wa kuta wa mita 82 kwenye nyumba yenye chumba, sebule na jiko ni maajabu. Kwa maana chumba chenye 4m/4m kina 16m vikiwa viwili ni 32m. Kumbuka kuna ukuta vina share.
Tatizo ni exaggerations. Choo na bafu ni mikato midogo sana. Hata hizo 19 za kwenda juu unakubaliana naye, pamoja na kuwa ni 17 bado hazita fika huko anakosema.
Samahani, jibu kwa aliyekuuliza ku quantify. fanya hiyo hesabu katika nyumba moja. Kisha jua kuwa unapozungumzia blocks haupaswi kuzungumzia area kama unatumia kigezo cha blocks ngapi katika 1m. Ambayo ni 0.45 block ktk mita 1. Vinginevyo unajua block moja ina cover surface area kiasi gani baada ya kuijenga.Ramani yangu ina 4.5m x4.5m na partitions za ndani jumla 6m.
Nitaunganisha apartments nne kwa mfumo wa madarasa ya shule (Gable roof).
Hapo nitasave Kuta 3 with a total surface area of 81m. Yaani 4.5m x 3m (height) x 3 walls = 40.5m x 2sides = 81m .
Hiyo surface area saved by joining itapunguza gharama za plastering, skimming/painting by almost 20%.
Ni hivi,Samahani, jibu kwa aliyekuuliza ku quantify. fanya hiyo hesabu katika nyumba moja. Kisha jua kuwa unapozungumzia blocks haupaswi kuzungumzia area kama unatumia kigezo cha blocks ngapi katika 1m. Ambayo ni 0.45 block ktk mita 1. Vinginevyo unajua block moja ina cover surface area kiasi gani baada ya kuijenga.
Unapaswa kuzungumzia marefu ya kuta zote za nyumba. Kwa maana (horizontal length). kisha uzidishe na hizo kozi(vertical length)19 au 17.
Kisha upunguze blocks utakazo okoa ktk milango, madirisha, uwazi mwingine na kuta zinazounganisha/share apartments.
Ukitafuta area itakusaidia katika tiles, roofing, plasta na rangi.
Kwa hesabu zangu wastani ni mzingo ni 30m na area ni 30m square. Kwa chumba, sebule na jiko. Chora mchoro wowote ambao ni economy & efficiency katika kupangisha/rent
Ni sawa kabisa kwa nyumba zote kutumia 3500 blocks. Mimi niliongeza 500 kutoka hesabu yako kuwa maximum 4000 blocks. Kwa maana hiyo kama blocks ni 3500. Basi kuna balance ya mil 13.5 ifanye kazi zingine. Ninaamini itafanya kazi zaidi ya robo tatu ya finishing.Ni hivi,
1. Urefu 4.5m
2. Upana 4.5m
3. Interior wall choo 3.6m
4. I nterior wall kitcen 2.4m
Total lenght of the walls = 4.5m +4.5 m + 4.5m +4.5m + 6m = 24m
24m x 4 = 96m.
Ukizipanga hizo apartments nne kwenye mstari mmoja (ukiziunganisha) utapunguza kuta tatu (3).
sawa na kusema utapunguza 4.5m +4.5m + 4.5m = 13.5m
96m - 13.5 m utapata total of 82.5m
Nadhani hapo umenielewa. Sija-calculate area.
Sidhani kama anaamini anachosema.mwanzo kuna mtu anajiita Mpumbavu kachangia kuwa apartment 1 block 1600. Kwa zote 4 minimum ni block 6400.
Huwezi. Labda za tope na miti!Wadau naomben ushauri kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?
Msaada tafadhali
Empty headed katika ubora, kamuulize Tajiri wa kijijini kwenu akwambie servant quarter yake alijenga kwa sh ngapi? Maana 17m ni pesa ndogo sana kwako. Kwakuwa nyumba hujengwa kwa gold. Wote wanao miliki wana vipato vya mabilioni. Wengi tutaishia kuwa wapangaji ikiwa 4m siwezi pata chumba na sebule. Ila naweza jenga ya tope na miti.Huwezi. Labda za tope na miti!
FAHAMU MAKISIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO (+255-657-685-268)Wadau naomben ushauri kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?
Msaada tafadhali