Wadau kwa Milioni 17 naweza kujenga apartment 4?

Kuna design inaitwa STUDIO yaani BWALO inaweza sana kujenga hata 8 kwa 17m
 
Wadau naomben ushauri kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?

Msaada tafadhali
Kwa hiyo mil.17 unakuta ni pesa ndefu Sana au ? 😂😂😂😂..

Hiyo itaishia kwenye kajumba 1 ka vyumba 2 tuu na pengine isitoshe.
 
17m?

Watu mnachukulia simple ujenzi eeh, labda Banda kama haya ya uswahilini hayana hata msingi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hawa ndio walikuwa wanashangaa eti camp establishment kutumia mil.7 wakati uko break down bado inakuwa camp ya kichoko..

Utasikia wamepiga,ndio dizaini ya mtoa mada..

Wakati kiuhalisia nyumba ya vyumba 3 Ili iwe imekamilika kwa nafuu zaidi inakula mil.35 na zaidi,kwa pesa yake hiyo pesa itaishia kwa kajumba 1 ka vyumba 2 ..
 
Nimejenga chumba pekee yake .. Kiwanja ninacho , au kwenye eneo langu la shamba ..... nimetumia angalau sh. 1,800,000

Bado sijajenga choo. Tayari nimeweka dirisha moja la chuma na mlango wa bati.. Ili angalau mtu akae shamba... Navyoona kwa apartment za bei nafuu at least sh. 6,000,000 mpaka 7,000,000
Labda ajenge na kuezeka tuu ,hapo atapata vijengo 2 ila kama haezeki atapata vijengo 4
 
Back
Top Bottom