The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,531
- 1,733
Hii unafanyaje maana ni mambo magani kabisaFafanua kuhusu hiyo mobiwork inalipaje...maana zingine unaletewa swali moja sh 20,kwa siku unajibu maswali 5 unapata sh 100.kuitoa mpaka ufikishe 11450...sasa hiyo inaweza kuwa afadhali kidogo
Mleta mada nawe jifunze kuelezwa basi.Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko kadogo online.
1. Mobiwork
2. Geopoll
Huwa nafanya survey zao wananilipa japo sio hela nyingi lakini sio haba, mfano mobiwork huwa wanalipa mara nyingi 5,000/= per survey na kuna siku wanaweza nitumia hata 2. Geopoll wanalipa kidogo sana eg 200 but sio haba kwani kidogokidogo hujaza kibaba.
Wadau karibuni tupeane fursa nyingine za online na hata za mtaani , kwa wale wa dharau na kejeli please ishia kusoma na kukaa kimya. Masikini wenzangu karibuni tupeane fursa tusimalize bando zetu kwa story za mange, sijui tanasha , sijui daimond mara kiba mara konde etc.
Nomba kuwasilisha
Blessmleta mada nawe jifunze kuelezwa basi.
Mimi geopol ..ninayo.ila ninaweza jibu maswali mengi sana.ila sijabahatika kulipwa.naomba kukuuliza labda wanaangalia vigezo gani ili ilipwe.au kuna kitu.nakosea????
Boss mbona hii km ipo tofauti na ulivyosema!?Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko kadogo online.
1. Mobiwork
2. Geopoll
Huwa nafanya survey zao wananilipa japo sio hela nyingi lakini sio haba, mfano mobiwork huwa wanalipa mara nyingi 5,000/= per survey na kuna siku wanaweza nitumia hata 2. Geopoll wanalipa kidogo sana eg 200 but sio haba kwani kidogokidogo hujaza kibaba.
Wadau karibuni tupeane fursa nyingine za online na hata za mtaani , kwa wale wa dharau na kejeli please ishia kusoma na kukaa kimya. Masikini wenzangu karibuni tupeane fursa tusimalize bando zetu kwa story za mange, sijui tanasha , sijui daimond mara kiba mara konde etc.
Nomba kuwasilisha
Kwa Issues za Survey ongezea hapo na Voice AfricaWadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko kadogo online.
1. Mobiwork
2. Geopoll
Huwa nafanya survey zao wananilipa japo sio hela nyingi lakini sio haba, mfano mobiwork huwa wanalipa mara nyingi 5,000/= per survey na kuna siku wanaweza nitumia hata 2. Geopoll wanalipa kidogo sana eg 200 but sio haba kwani kidogokidogo hujaza kibaba.
Wadau karibuni tupeane fursa nyingine za online na hata za mtaani , kwa wale wa dharau na kejeli please ishia kusoma na kukaa kimya. Masikini wenzangu karibuni tupeane fursa tusimalize bando zetu kwa story za mange, sijui tanasha , sijui daimond mara kiba mara konde etc.
Nomba kuwasilisha
Kwangu mimi ni SMART RETAIL, BLOCKCHAIN pamoja na FOREX.Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko kadogo online.
1. Mobiwork
2. Geopoll
Huwa nafanya survey zao wananilipa japo sio hela nyingi lakini sio haba, mfano mobiwork huwa wanalipa mara nyingi 5,000/= per survey na kuna siku wanaweza nitumia hata 2. Geopoll wanalipa kidogo sana eg 200 but sio haba kwani kidogokidogo hujaza kibaba.
Wadau karibuni tupeane fursa nyingine za online na hata za mtaani, kwa wale wa dharau na kejeli please ishia kusoma na kukaa kimya. Masikini wenzangu karibuni tupeane fursa tusimalize bando zetu kwa story za Mange, sijui Tanasha, sijui Diamond mara Kiba mara Konde etc.
Nomba kuwasilisha
Wanakupa kazi zao kwa wiki mara ngapi na vigezo vya kupatiwa kazi hizo za survey ni vipiWadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko kadogo online.