Wadau ipeni maneno picha hii

Wadau ipeni maneno picha hii

Huyo demu analia au anacheka? Mbona hiyo sura ipo irregular?
 
He! mbona wote mmeelekeze maneno direction moja tu?
Mi ya kwangu " twende basi kanisani, acha uvivu jumapili leo"
 
Hapo ni sitaki nimekwambia sitaki lakini hadi jamaa atakamilisha kazi yote bado binti ataendelea na sitaki kibao na ntakusemea nyiiiingi.
 
wadau huyo bint lazima afanye atakalo huyo jamaa c mnaona alivyo batasam huyo mdada,inaonesha yuko radhi kufanya lolote atakaloambiwa na huyo jamaa ila atajifanya kama anagoma ili mradi tu abembelezwe.
 
Love you
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36909&amp;stc=1" attachmentid="36909" alt="" id="vbattach_36909" class="previewthumb" /><br />
"Usiogope hamna shida, mara moja tu"
<br />
<br />
 
Wee niangusage tu sambi sako mwenyewe. Tena leo sikuvaa supi kwasababu ni samu yake dada kaivaa kaenda nayo masine bee.
 
Back
Top Bottom