DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 10,519
- 21,441
Habari wanajamvi, moja kwa moja kwenye mada
Nimepokea changamoto hii nikaona niwashirikishe wanajamvi labda naweza pata jibu sahihi.
Ni binti wa shule, sio sekondari ni chuo alinifuata na kunipa scenario ya kilichomtokea katika masuala ya uzazi.
Mwezi wa kumi na moja alipata ujauzito ambao alikuja kuugundua mwezi wa kumi na mbili kwa kua ni yeye ndiye aliyemtega msela katika siku za hatari, msela hakua na budi kuikataa kwa sababu alishaaminishwa kwamba ni siku salama kufanya bila mpira, ilimlazimu binti huyo kufanya abortio lakini mwezi wa kwanza alijikuta akiwa na ujauzito mwingine kabla hata hajaenda kwenye mzunguko wake.
Hilo ni jambo la kawaida kwani hormone hua zina tabia ya kurudi kimya kimya wiki moja ad mbili baada ya abortion.
Sasa hii scenario ya tatu ambayo nimeletewa na binti huyo ni kwamba mimba ilitoka kutokana na stress alizokua akipitia baada ya kukataliwa tena ujauzito wake na pindi alipomaliza kutokwa na damu baada ya abortion alikutana na mwanaume siku moja baaada ya damu kukoma, na sasa ana ujauzito mwingine na kwa madai yake hajawahi kukutana na mwanaume yeyote toka siku hio.
Wadau inawezekanaje mtu aka conceive siku moja baada ya damu kukoma? Je hormone zilirudi masaa? Na mayai yalitengenezwa saa ngapi? Hebu wataalam mtujuze apa.
Nawasilisha