Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,327
- 1,799
Habari,
Kuna kukosa ushahidi wa wazi kwamba kweli kama alikua mjamzito ile mimba ilitoka. Ni kawaida kwa hawa wenzetu wanapokuwa wajawazito, wakipata damu wanajichukulia kuwa mimba imeshatoka.
Kuna mazingira ambayo damu huweza kutoka na mimba ikaendelea kuwepo.
Je ilikuwa mimba ya umri gani?
Je alifanyiwa kipimo chochote kuthibitisha ujauzito ulitoka?
Je wingi wa damu iliyokuwa inatoka ilikuwaje?
Kwa wakati wowote alipata clots zozote?