Wadau inawezekanaje mtu aka conceive siku moja baada ya damu kukoma?

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
10,305
20,811
Habari wanajamvi, moja kwa moja kwenye mada

Nimepokea changamoto hii nikaona niwashirikishe wanajamvi labda naweza pata jibu sahihi.

Ni binti wa shule, sio sekondari ni chuo alinifuata na kunipa scenario ya kilichomtokea katika masuala ya uzazi.
Mwezi wa kumi na moja alipata ujauzito ambao alikuja kuugundua mwezi wa kumi na mbili kwa kua ni yeye ndiye aliyemtega msela katika siku za hatari, msela hakua na budi kuikataa kwa sababu alishaaminishwa kwamba ni siku salama kufanya bila mpira, ilimlazimu binti huyo kufanya abortio lakini mwezi wa kwanza alijikuta akiwa na ujauzito mwingine kabla hata hajaenda kwenye mzunguko wake.

Hilo ni jambo la kawaida kwani hormone hua zina tabia ya kurudi kimya kimya wiki moja ad mbili baada ya abortion.

Sasa hii scenario ya tatu ambayo nimeletewa na binti huyo ni kwamba mimba ilitoka kutokana na stress alizokua akipitia baada ya kukataliwa tena ujauzito wake na pindi alipomaliza kutokwa na damu baada ya abortion alikutana na mwanaume siku moja baaada ya damu kukoma, na sasa ana ujauzito mwingine na kwa madai yake hajawahi kukutana na mwanaume yeyote toka siku hio.

Wadau inawezekanaje mtu aka conceive siku moja baada ya damu kukoma? Je hormone zilirudi masaa? Na mayai yalitengenezwa saa ngapi? Hebu wataalam mtujuze apa.


Nawasilisha
Screenshot_20210220-145836_Opera%20Mini.jpg
 
Kwanza damu kutoka sio kwamba mimba imetoka inategmeana hiyo mimba ilikuwa na muda gani...!! Kwa maumivu ya abortion alafu kesho akaenda kukutana na mwanaumw duu huyo komando Amekuficha jambo hapo ila kwa scenario yako kama anasema ukweli bhasi mimba haikutoka.

Kama ilitoka bhasi hajasex na mwanaume mmoja na kama alisex nae bhasi ni week kadhaa baada ya mimba kutoka. Na week kadhaa mbele baada ya mimba Kutoka yani Mimba inapenyaa vizuri tu...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kwanza damu kutoka sio kwamba mimba imetoka inategmeana hiyo mimba ilikuwa na muda gani...!! Kwa maumivu ya abortion alafu kesho akaenda kukutana na mwanaumw duu huyo komando...
Mkuu bleed wiki nzima kwamba ndo ijatoka
 
Ni sahihi mwanamke kupata ujauzito siku moja tu baada ya hedhi kuisha sio kukoma!
Hii hutokea kwa wale wanawake ambao mzunguko wao haupo kwenye utaratibu wa kawaida yani;
1, Mzunguko wao huchukua siku pungufu ya 28
2, Wanawake wanaopata hedhi baada ya zaidi ya siku 28
3, Wanawake wanaopata hedhi kwa za zadi ya siku za kawaida yani 3_ 5 wengine hupata hedhi hata zaidi ya hapo
4, Wanawake wenye hormonal imballance wapo ktk hatari hiyo.
Nk

Mshauri mlengwa amwone daktari wa afya ya uzazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom