Asante sana kwa ushauri mzuri! Hiyo chanjo hilo ndiyo jina lake,yaani moja tatu?Pia nini kifanyike kwa hao wagonjwa pamoja na kwamba unasema kwa sasa chanjo haiwezi kuwaponya?Nenda kwenye maduka ya dawa za mifugo ulizia chanjo mpya inaitwa moja tatu. Ila hao ambao wameshaugua huwezi kuwaponesha kwa kuwapa chanjo.
Kwakuwa bado wanaumwa sijajua kama wakipona wataweza kuona tenaDuh nimewaonea huruma, kwahiyo wanavimba macho hadi wanakua hawaoni na kufa? Je wakipona macho yanarudi kuona tena mkuu?
Aksante sana mkuu ngoja nijaribuYes moja tatu ndio jina la chanjo. Kuhusu hao wagonjwa uwezekano wa kufa ni mkubwa kuliko wa kupona ila jaribu kuchanganya punje za mahindi na mafuta ya kula kisha uwape, siwezi kukuhakikishia kuwa ni dawa ila unaweza kujaribu.
Naunga mkono hojaWapatie antibiotics pia wapake mafuta (vaseline au mafuta ya kula) pale inapowezekana kwenye hivyo vinundu. Hii ni mbinu tu ya kupunguza vifo na kutibu side-effects za ugonjwa.
Naunga mkono hoja
wakamue pale unapoweza, wapake Vaseline hii huzuia hewa isipite na hivyo kwa kiasi kikubwa hawa Virusi hufa.
Antibiotic pia ni muhimu na ukikosa wape maji ya alovera kama mbadala
J
Yaap!!!, inaweza kusaidia.Wakamue kisha wapake spirit, rudia kila siku kuwapaka spirit hadi vikauke. Inaweza kusaidia kwa namna fulani. Wakati mwingine ukumbuke kuwapa chanjo ya ndui.
Ulichosema ni ukweli mtupu wale vifaranga asilimia 95%macho yamevimba na hawaoni tena!Asilimia 4,wamekufa!😥😥😥Yes moja tatu ndio jina la chanjo. Kuhusu hao wagonjwa uwezekano wa kufa ni mkubwa kuliko wa kupona ila jaribu kuchanganya punje za mahindi na mafuta ya kula kisha uwape, siwezi kukuhakikishia kuwa ni dawa ila unaweza kujaribu.
Asante!Ngoja nijaribu,nitakupa mrejesho!Koroga sabuni kwenye maji masafi,then wasafishe na mapovu sehemu kwenye uvimbe..pia hakikisha mapovu yanaingia ndani ya macho.
Baada ya siku tatu utakuja kunishukuru,mara nyingi hayo ni magonjwa yanayotokana na bakteria,so sabuni inatabia ya kuuwa bakteria..mimi ndio dawa ninayoitumiaga .
Huo ugonjwa unasababishwa na virus sio bacteria ndio maana hauna tiba bali una chanjo, hizo mbinu nyingine za matibabu ni kama ramli tu.Koroga sabuni kwenye maji masafi,then wasafishe na mapovu sehemu kwenye uvimbe..pia hakikisha mapovu yanaingia ndani ya macho.
Baada ya siku tatu utakuja kunishukuru,mara nyingi hayo ni magonjwa yanayotokana na bakteria,so sabuni inatabia ya kuuwa bakteria..mimi ndio dawa ninayoitumiaga .
Unaijua ndui ya kuku wewe km kitu hujui kaa kimya usidanganye watu mkuu.Hiyo ni ndui ya kuku au Fawl poxy kitaalamu, hauna dawa bali una chanjo