bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,371
- 3,946
Ameiba!Umeupata wapi mkuu?
Niko na piece 15 hapa kuna "jirani" yangu anazo kaniomba msaadaUmeupata wapi mkuu?
Huyo jirani yako atakuwa ni Storekeeper kazipiga ofisini kwake😂😂😂😂(Natania mkuu)Niko na piece 15 hapa kuna "jirani" yangu anazo kaniomba msaada
Deal deal tu mjini hata kama hujui ni Tanzania pekee mtu anaiba kitu ambacho hajui kazi yakeUmeipata wapi mkuu?
Nenda PM mkuu tuzungumzeNazinunua zote jumla kwa laki moja boss.
hiyo ni betri ya zile DELL latitude D -series za zamaniNaomba maelezo zaidi,unahisi ni battery la mashine gani?imekaa kama dell zile za zamani kabisa ila sikumbuki model.Wadau msaada jamani mzigo huu nataka nikauze.bei ya makisio 35,000/ tunaweza pata vichwa?View attachment 890027View attachment 890028View attachment 890029