bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,371
- 3,936
Naomba maelezo zaidi,unahisi ni battery la mashine gani?imekaa kama dell zile za zamani kabisa ila sikumbuki model.Wadau msaada jamani mzigo huu nataka nikauze.bei ya makisio 35,000/ tunaweza pata vichwa?