Alichokifanya ULIMBOKA si sahihi kwa7bu kile kipindi ambacho watu walikua na shahuku ya kumtetea kwa kile alichofanyiwa alileta mapozi kwa kutotaka kusema ukweli kwa wale waiohusika na mateso yake, hii ikafanya mpaka gazeti letu kufungiwa kwa kuonekana kama chanzo cha uchonganishi kati ya seikali na wananchi.
Hii inakuja baada ya muda mrefu kunyamaza kimya na hata baada ya kurudi kutoka kwenye matibabu watu walikuwa na furaha wakizani ataeleza ukweli wa lile tukio lakini matoke yake akatulostisha vibaya.
Nilimpenda sana kwa msimamo wake ila kwakua alianza kungiwa na woga alinifanya nisimpende na kuona alichofanyiwa ni sahihi kabisa.